Visa vya corona vyazidi ongezeka Duniani.

Hadi kufikia leo Dunia nzima visa vilivyothibitishwa kuwa na virusi vya corona imefikia 4,628,879, vifo 308,655 na waliopona 1,760,629.

Marekani bado yaongoza kwa wagonjwa ikiwa na visa 1,484,285, vifo 88,507 na waliopona 327,751. Katika Bara la Ulaya nchi inayoongoza kwa wagonjwa wa corona ni Uhispania ikiwa na visa 274,367, vifo 27,459 na waliopona 188,967 ikifuatiwa na Urusi yenye visa 262,843, vifo 2,418 na waliopona 58,226 huku Uingereza ikiwa na visa 236,711, vifo 33,998 na waliopona 1,049.

Comments

comments

Anthony Shija

Read Previous

Bunge laidhinisha bajeti ya Wizara ya Fedha 2020/21.

Read Next

Visa vya corona Afrika vyafikia 79,931.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!