1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Watu wawili wauawa katika shambulizi Damascus.

Watu wawili wauawa katika shambulizi Damascus.

Watu wawili wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na Israeli katika mji mkuu wa Syria, Damascus. Awali msemaji wa jeshi la Israeli Avichay Adraee alisema kuwa Israeli ilishambulia maeneo yaliyolengwa ya jeshi la Iran…

Read More
Jamii yaombwa kutoa taarifa za Matukio ya Ukatili.

Jamii yaombwa kutoa taarifa za Matukio ya Ukatili.

Jamii imeshauriwa kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika madawati ya Polisi ya Kijinsia au kwenye Asasi zinazohusika na kupinga ukatili wa kijinsia ili kutokomeza ukatili huo hapa nchini. Viongozi wa Shirika la…

Read More
Maadhimisho ya Siku ya Haki za Watoto Duniani.

Maadhimisho ya Siku ya Haki za Watoto Duniani.

Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa kipaumbele inachotoa katika kulinda haki za watoto ikiwemo kuhakikisha watoto wote nchini wanapata haki sawa ya elimu kwa kuondoa ada na michango…

Read More
TAKUKURU yawafikisha raia 2 wa China.

TAKUKURU yawafikisha raia 2 wa China.

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi imewafikisha mahakamani wafanyabiashara sita wakiwemo raia wa kigeni kutoka China kujibu mashtaka ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Raia wa China waliofikishwa…

Read More
Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro ahamia CCM.

Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro ahamia CCM.

Wakati kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikiendelea nchini, aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa Itikadi na Uenezi…

Read More
Rais Dkt. Magufuli apokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Ramaphosa.

Rais Dkt. Magufuli apokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Ramaphosa.

Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwa matukio ya mashambulizi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini sio msimamo wa Serikali ya…

Read More
Shambulio la kigaidi nchini Mali laua Askari 24.

Shambulio la kigaidi nchini Mali laua Askari 24.

Jeshi la Mali limeshambuliwa na kundi la watu wanaoshukiwa kuwa magaidi Kaskazini mwa nchi hiyo karibu na mpaka wa Niger na kuua Askari zaidi ya 24 huku raia wengi wakipoteza maisha katika shambulio hilo lililotokea…

Read More
Wakazi wa Tegeta waishukuru Serikali.

Wakazi wa Tegeta waishukuru Serikali.

Wakazi wa Tegeta Salasala Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam wameishukuru Serikali ya awamu ya Tano kwa kuwapatia huduma ya maji ambayo waliiokosa tangu Uhuru na kwamba itawapunguzia upotevu wa muda na gharama walizokuwa…

Read More
Wajasiriamali waliokwenda Saudi Arabia warejea.

Wajasiriamali waliokwenda Saudi Arabia warejea.

Vijana walioenda kushiriki kongamano la kimataifa la biashara la vijana nchini Saudi Arabia Mji Mkuu wa Riyadhi wameimwagia sifa Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani (TECC) kwa kuwawezesha kushiriki kongamano hilo ambako waliweza kubadilisha uzoefu na…

Read More
Shilingi milioni mia moja za ahadi za Dkt. Magufuli za zaa matunda Songea.

Shilingi milioni mia moja za ahadi za Dkt. Magufuli za zaa matunda Songea.

Shilingi milioni mia moja zilizotolewa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa bweni moja kwenye shule kongwe ya Wasichana Songea zimeanza kuzaa matunda kwenye shule…

Read More
Follow On Instagram