1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Nchi za SADC kujadili tatizo la Ajira kwa Vijana.

Nchi za SADC kujadili tatizo la Ajira kwa Vijana.

Serikali imesema kuwa mpango wa kutatua tatizo la ajira kwa vijana ambalo linaendelea kuwa changamoto duniani kote kufuatia vijana wengi wasomi kukaa bila ajira na ili kulimaliza ama kulipunguza kunahitajika mjadala wa kina. Katibu Mkuu…

Read More
Kenya na Somalia zakubaliana kurejesha uhusiano.

Kenya na Somalia zakubaliana kurejesha uhusiano.

Kenya na Somalia, zimekubaliana kurejesha ushirikiano wa awali wa Kidiplomasia na kuruhusu raia wa nchi hizo jirani kuvuka mpaka bila vikwazo. Hii inakuja baada ya mazungumzo kati ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mohamed…

Read More
Wabunge wampongeza Rais Magufuli.

Wabunge wampongeza Rais Magufuli.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepongeza utendaji wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kipindi cha miaka minne tangu kuingia madarakani ikiwamo upatikanaji wa umeme kutoka vijiji 2000 hadi zaidi ya 7000 kupitia…

Read More
Wake wa Viongozi watoa Misaada.

Wake wa Viongozi watoa Misaada.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli ameungana na wake wa viongozi mbalimbali katika kusherehekea miaka 10 ya umoja wao uitwao New Millenium Women’s Group kwa kutoa misaada katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni…

Read More
Ufaransa yatoa msaada wa Euro milioni 65 kwa DRC.

Ufaransa yatoa msaada wa Euro milioni 65 kwa DRC.

Kufuatia mkutano na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo DRC, Felix Tshisekedi, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kutoa msaada wa Euro milioni 65 kwa DRC kupitia mkataba wa maendeleo na kupunguza madeni yanayoikabili…

Read More
CCM na uchaguzi Serikali za Mitaa.

CCM na uchaguzi Serikali za Mitaa.

Chama Cha Mapinduzi CCM Kimesema kitashiriki kikamilifu uchaguzi wa Serikali za Mitaa licha ya baadhi ya vyama vya Upinzani kutangaza Kususia Uchaguzi huo kwa Kuwa Uchaguzi huo ndio Msingi wa Kuunda Serikali Madhubuti. Katibu wa…

Read More
Operesheni maalum ya kuwakamata wauza Madini.

Operesheni maalum ya kuwakamata wauza Madini.

Waziri wa madini Dotto Biteko ametangaza operesheni maalum kuanzia kesho Novemba 14 ya kuwakamata wafanyabiashara wote wakubwa wa madini ya Vito ikiwemo ‘Tanzanite’ ambao wamekaidi agizo la serikali la kufanya biashara hiyo katika soko la…

Read More
Kongamano la Wafanyabiashara EAC.

Kongamano la Wafanyabiashara EAC.

Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) wameandaa kongamano kubwa la Biashara na Uwekezaji la Afrika Mashariki litakalofanyika jijini Arusha Novemba 28 na 29 mwaka…

Read More
Usafiri waathirika Hongkong kutokana na maandamano.

Usafiri waathirika Hongkong kutokana na maandamano.

Waandamanaji mjini Hong Kong wamesababisha kuvurugika kwa mtandao wa usafiri mjini humo kwa siku ya pili mfululizo leo wakati mataifa ya magharibi yameeleza wasi wasi wao kuhusiana na machafuko yanayoongezeka baada ya polisi kumpiga risasi…

Read More
NEMC yateketeza Mifuko mbadala Milioni 2.

NEMC yateketeza Mifuko mbadala Milioni 2.

Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeteketeza zaidi ya mifuko mbadala milioni mbili iliyotengenezwa chini ya kiwango na kiwanda cha Jin Yuan Investment kilichopo Jijini Mwanza na gunia nane za vifungashio viliyoingia nchini…

Read More
Follow On Instagram