1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Bunge la Marekani na azimio kumng’oa Trump.

Bunge la Marekani na azimio kumng’oa Trump.

Baraza la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio la kuwasilisha mashtaka dhidi ya Rais Donald Trump katika Bunge la Senate kitendo ambacho kinaashiria kuanza kwa kesi inayoweza kumuondoa madarakani Rais huyo. Wabunge 228 walipitisha azimio hilo…

Read More
Mabenki yanayotoa mikopo ya nyumba yapongezwa.

Mabenki yanayotoa mikopo ya nyumba yapongezwa.

Serikali imesema hatua ya Taasisi za fedha kuanza kutoa mikopo ya muda mrefu ya ujenzi wa nyumba utawawezesha watanzania wengi kupata uwezo wa kujenga nyumba bora, pamoja na kutumia nyumba hizo kujiinua kiuchumi. Waziri wa…

Read More
Mkazi wa Kibondo ataka kujiua baada ya kumuua mkewe.

Mkazi wa Kibondo ataka kujiua baada ya kumuua mkewe.

Mkazi mmoja anayeishi wilaya Kibondo Mkoani Kigoma Albert Rugai miaka 65 amejaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya kumuua mke wake Ester Kondo miaka 45 kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi pamoja na kugombania…

Read More
Wadau wajadili changamoto za usafirishaji majini.

Wadau wajadili changamoto za usafirishaji majini.

Wadau wa usafirishaji Duniani kwa njia ya bahari na majini wamekutana jijini dar es salaam kujadili changamoto za usafirishaji na kuzitafutia ufumbuzi, Tanzania ikibahatika kuwa mwenyeji wa mkutano huo kwa mara ya pili katika mzunguko…

Read More
Tanzania na Sweden zasaini makubaliano ya msaada.

Tanzania na Sweden zasaini makubaliano ya msaada.

Serikali ya Tanzania imetiliana saini mikataba miwili ya msaada na serikali ya Sweden kwa kupatiwa fedha kiasi cha dola milioni 90 sawa na shilingi Bilioni 240.95 kutoka mfuko wa ushirikiano wa Elimu Duniani GPE. Akizungumzia…

Read More
Raia wa Iran watakiwa kuingia mitaani zaidi kwa maandamano.

Raia wa Iran watakiwa kuingia mitaani zaidi kwa maandamano.

Maandishi katika mitandao ya kijamii nchini Iran yamewahimiza raia wa nchi hiyo kuingia mitaani kwa siku ya tano mfululizo leo, baada ya hasira ya umma kuzuka kufuatia hatua ya kukiri kwa maafisa wa serikali kuwa…

Read More
Jeshi la Sudan lakabiliana na uasi nchini humo.

Jeshi la Sudan lakabiliana na uasi nchini humo.

Jeshi la Sudan linayashikilia makao makuu ya kikosi cha usalama wa taifa cha nchi hiyo ambacho awali kilikuwa kitiifu kwa rais aliyepinduliwa Omar al-Bashir ambapo Jeshi hilo linatarajia kukivunja Kitengo hicho na kuunda kipya kutokana…

Read More
Iran yawakamata waliodungua ndege ya Ukraine.

Iran yawakamata waliodungua ndege ya Ukraine.

Iran imetangaza leo kwamba watu kadhaa wamekamatwa kuhusiana na kombora lililorushwa kimakosa na kuiangusha ndege ya Ukraine karibu na uwanja wa ndege wa Tehran na kuwauwa watu wote 176 waliokuwa ndani ya ndege hiyo. Tangazo…

Read More
TRA wahimizwa kuongeza bidii ya kukusanya mapato.

TRA wahimizwa kuongeza bidii ya kukusanya mapato.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, amewahimiza watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kufanya kazi kwa bidii, weledi, na kwa kuzingata misingi wa Sheria za kodi ili kuhakikisha…

Read More
Wauza matunda Kariakoo wakiuka kanuni za Afya.

Wauza matunda Kariakoo wakiuka kanuni za Afya.

Kaimu Afisa Afya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam amewataka wafanyabiashara wa vyakula na Matunda yaliyomenywa na kuuzwa katika maeneo mbali mbali ya Kariakoo kuzingatia Kanuni za Afya na Usafi wa mazingira katika…

Read More
Follow On Instagram