1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema hadi sasa ina asilimiaa 64 ya kudhibiti sekta ya usafiri wa anga kutokana na usimamizi mzuri wa Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt.…

Read More
Wananchi wanaotaka kujenga Dodoma watahadharishwa.

Wananchi wanaotaka kujenga Dodoma watahadharishwa.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaonya na kuwatahadharisha wananchi wanaotaka kumiliki viwanja jijini Dodoma kuwa makini na matapeli wa viwanja. Ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la…

Read More
Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa Kigoma.

Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa Kigoma.

Wakazi wa Mkoa wa Kigoma wameiomba serikali kutekeleza kwa haraka mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ambayo itasaidia kuondoa changamoto kubwa waliyokuwa nayo ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo ambapo kwa wakati fulani…

Read More
Rais Magufuli abatilisha Pendekezo la kufutwa Shamba.

Rais Magufuli abatilisha Pendekezo la kufutwa Shamba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amebatilisha pendekezo la kufutwa shamba lenye ukubwa wa ekari 1,000 lililopo Kidunda wilayani Mvomero mkoani Morogoro linalomilikiwa na Rusimbi. Uamuzi wa Mhe. Dkt.…

Read More
Serikali yaombwa kutelekeza Mkataba wa Kimataifa wa kudhibiti Tumbaku wa WHO.

Serikali yaombwa kutelekeza Mkataba wa Kimataifa wa kudhibiti Tumbaku wa WHO.

Serikali imeombwa kutekeleza mkataba wa kimataifa wa kudhibiti tumbaku wa shirika la afya duniani WHO, kwa kuweka sera za kudhibiti tumbaku ili kuokoa kizazi cha sasa na kijacho dhidi ya majanga ya kiafya, kijamii, kiuchumi…

Read More
NECTA yasema Elimu bila Malipo yaongeza Watahiniwa.

NECTA yasema Elimu bila Malipo yaongeza Watahiniwa.

Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limesema jitihada za serikali ya awamu ya tano katika sekta ya elimu, hususani katika suala la kutoa elimu bila malipo limeongeza mara dufu idadi ya watahiniwa wa darasa la nne…

Read More
Mikopo ya Elimu ya Juu yafikia Tsh. Bilioni 162.8 .

Mikopo ya Elimu ya Juu yafikia Tsh. Bilioni 162.8 .

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia Novemba 3, mwaka huu Serikali imekwishatoa mikopo ya tsh. bilioni 162.8 kwa wanafunzi 46,838 wa mwaka wa kwanza nchini kote. Akizungumza na maelfu ya waumini waliohudhuria Baraza la…

Read More
Mnada wa Kwanza wa Korosho Lindi.

Mnada wa Kwanza wa Korosho Lindi.

Wakulima wa Korosho wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi chini ya chama kikuu cha Runali wameridhia kuuza korosho zao kwa bei ya shilingi 2625 na 2567 kwa kila kilo ambapo jumla Maombi 20 ya kampuni 15…

Read More
Mkutano wa Mawaziri sekta ya Afya na Ukimwi nchi za SADC.

Mkutano wa Mawaziri sekta ya Afya na Ukimwi nchi za SADC.

Tanzania ni miongoni mwa nchi saba duniani zilizofikia malengo ya mkakati wa kutokomeza kifua kikuu (TB) ifikapo mwaka 2020, ambapo katika mwaka 2018, maambukizi mapya ya kifua kikuu yalipungua kwa asilimia 4.6 huku vifo vitokanavyo…

Read More
Uchunguzi dhidi ya Rais Trump kuanza Novemba 13.

Uchunguzi dhidi ya Rais Trump kuanza Novemba 13.

Wabunge wa Chama cha Democrats wametangaza kuanza kwa mahojiano ya wazi wiki ijayo katika uchunguzi ambao unaweza kushuhudia Rais wa Marekani Donald Trump akiondolewa madarakani. Taarifa yao imeonyesha kuwa maofisa watatu wa juu kutoka wizara…

Read More
Follow On Instagram