1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

TAKUKURU wakabidhiwa ripoti ya ubadhirifu.

TAKUKURU wakabidhiwa ripoti ya ubadhirifu.

Shirikisho la ukaguzi wa vyama vya ushirika nchini COASCO limebaini ubadhirifu wa zaidi ya bilioni 124 uliofanywa na vyama vya ushirika baada ya kufanya ukaguzi dhidi ya vyama 4413 katika kipindi cha mwaka wa fedha…

Read More
Bodi ya filamu yatoa rai kwa wamiliki vya vyombo vya usafiri.

Bodi ya filamu yatoa rai kwa wamiliki vya vyombo vya usafiri.

Bodi ya filamu Imewakumbusha wamiliki wa Vyombo vya Usafiri na Wasimamizi hasa magari ya abiria kuacha tabia ya kuonyesha filamu au picha jongevu ambazo hazina maadili kwa Watanzania. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar…

Read More
Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Kenya yafikia 65.

Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Kenya yafikia 65.

Maafisa nchini Kenya wamesema idadi ya waliokufa kutokana na athari za mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo tangu Jumamosi ya wiki iliyopita imeongezeka na kufikia 65 baada ya mvua kubwa kuendelea kunyesha hapo jana na kuua watu…

Read More
Watu Nane washikiliwa, Sita wanatafutwa.

Watu Nane washikiliwa, Sita wanatafutwa.

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu nane wakazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Wilaya ya Rungwe na kuwatafuta wengine sita kwa tuhuma za kushambulia na kujeruhi watu wawili, na kuiba kuku watano…

Read More
Ujenzi wa Rada Mbeya wakamilika kwa zaidi ya Asilimia 65.

Ujenzi wa Rada Mbeya wakamilika kwa zaidi ya Asilimia 65.

Ujenzi wa Mnara wa Rada ya kuongozea ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe uliopo Mkoani Mbeya umekamilika kwa zaidi ya asilimia 65, nakwamba hadi mwezi Januari mwakani Rada hiyo itaanza kutumika na…

Read More
Sidama, Ethiopia wachagua kujisimamia.

Sidama, Ethiopia wachagua kujisimamia.

Tume ya uchaguzi nchini Ethiopia imesema kabila la Sidama kupitia kura ya maoni iliyopigwa wiki iliyopita wameamua kuwa na Serikali ya kimkoa kwa asilimia 98.5, wakati makundi mengi ya kikabila yakidai uhuru zaidi. Matokeo hayo…

Read More
Waliokaidi agizo la kususia Uchaguzi waeleza.

Waliokaidi agizo la kususia Uchaguzi waeleza.

Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo aliyegombea nafasi ya ujumbe wa Serikali ya kijiji cha Long baada ya kukataa kutii agizo la chama hicho ngazi ya taifa la kususia uchaguzi, Anthony Lawat…

Read More
Serikali yapokea gawio lenye thamani ya Tshs. Trilioni 1.05 .

Serikali yapokea gawio lenye thamani ya Tshs. Trilioni 1.05 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa siku 60 kwa makampuni, taasisi na mashirika na umma 187 yaliyoshindwa kutoa gawio kwa serikali yatoe gawio hilo na kwamba muda huo…

Read More
Ndege isiyo ya rubani ya Marekani kupotea Libya.

Ndege isiyo ya rubani ya Marekani kupotea Libya.

Jeshi la Marekani limesema kuwa limepoteza ndege isiyoendeshwa na rubani ambayo haikuwa na ulinzi katika mji mkuu wa Libya, Tripoli ambapo makundi hasimu yamekuwa yakipigania udhibiti wa mji huo kwa miezi kadhaa sasa. Uongozi wa…

Read More
Ujenzi wa Meli mpya Mwanza kukamilika kwa wakati.

Ujenzi wa Meli mpya Mwanza kukamilika kwa wakati.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema kuwa ujenzi wa Meli mpya inayojegwa katika bandari ya Mwanza utakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma katika Ziwa Victoria. Kamwelwe ameeleza hayo kwenye ziara…

Read More
Follow On Instagram