1. Home
  2. Author Blogs

Author: clement

clement

Sanchez asema Kamwe hatajutia Kujiunga na Man United.

Sanchez asema Kamwe hatajutia Kujiunga na Man United.

Kwa mara ya kwanza mchezaji wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez amewaambia waandishi wa habari kuwa, kamwe hatajutia uamuzi wake wa kujiunga na klabu ya Manchester United mwezi Januari mwaka 2018, japo anakiri kuwa hakupata…

Read More
Watu wengi wafariki Dunia katika Meli Mjini California.

Watu wengi wafariki Dunia katika Meli Mjini California.

Watu zaidi ya nane wamefariki dunia hapo jana huku wengine zaidi ya 26 wakiwa hawajulikani walipo katika mkasa wa moto mkubwa uliozuka katika meli ya watalii kwenye pwani ya California. Hata hivyo mamlaka katika mji…

Read More
Mashambulizi ya Angani Eneo la Idlib Syria.

Mashambulizi ya Angani Eneo la Idlib Syria.

Majeshi ya Urusi na Marekani yameanzisha mashambulizi ya angani katika eneo la Idlib nchini Syria bila kuionya Uturuki na kuhatarisha mkataba wa kusitisha mapigano. Haya yameripotiwa leo Jumapili na shirika la habari la Urusi. Shirika…

Read More
Waziri Mkuu wa Sudan Kutangaza Baraza la Mawaziri.

Waziri Mkuu wa Sudan Kutangaza Baraza la Mawaziri.

Waziri Mkuu mpya wa Sudan Abdalla Hamdok amefanya mazungumzo ya kuunda baraza la kwanza la mawaziri tangu Omar al-Bashir alipoondolewa madarakani. Hamdok alitarajiwa kutangaza baraza la mawaziri baada ya Baraza la Mpito linalowajumuisha wajumbe wa…

Read More
Mkutano wa Rais Mhe. Dkt. Magufuli na Watendaji wa Kata Nchini.

Mkutano wa Rais Mhe. Dkt. Magufuli na Watendaji wa Kata Nchini.

Read More
Barabara Jimbo la Ukonga Ilala Zakarabatiwa.

Barabara Jimbo la Ukonga Ilala Zakarabatiwa.

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini dsm imeanza kuziboresha barabara zilizoharibika vibaya kutokana na mvua na kusababisha kupitika kwa shida katika mitaa mbali mbali ya Jimbo la ukonga. Akizungumza na Waandishi wa habari Mstahiki Meya…

Read More
Taarifa ya Habari ya Saa Moja Kamili Usiku channel Ten

Taarifa ya Habari ya Saa Moja Kamili Usiku channel Ten

Read More
Kuondoka Kwa Viongozi Wakuu Waliohudhuria Mkutano wa 39 wa SADC

Kuondoka Kwa Viongozi Wakuu Waliohudhuria Mkutano wa 39 wa SADC

Read More
Njia rahisi ya Kupakua APP Mpya ya Channel Ten (Channel Ten Tz).

Njia rahisi ya Kupakua APP Mpya ya Channel Ten (Channel Ten Tz).

Read More
Follow On Instagram