1. Home
  2. Author Blogs

Author: Clement Silla

Clement Silla

Idadi ya maambukizi ya Corona Afrika Kusini yafikia 709.

Idadi ya maambukizi ya Corona Afrika Kusini yafikia 709.

Afrika Kusini imesema idadi ya waliothibitika kuwa na virusi vya Corona imeongezeka na kufikia 709 leo Jumatano kutoka 554 iliyoripotiwa jana ikiwa ni ongezeko la asilimia 28. Afrika Kusini ambayo sasa ndio taifa lenye idadi…

Read More
Mvua zasitisha mawasiliano Ruvuma.

Mvua zasitisha mawasiliano Ruvuma.

Wananchi na wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Likuyufusi -Mkenda ambayo inaunganisha nchi ya Tanzania na Msumbiji mkoani Ruvuma wako katika wasiwasi mkubwa wa kukosa mahitaji ya msingi kama huduma za afya ,usafirishaji wa mazao baada…

Read More
Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri.

Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More
Gary Neville ajitolea hotel zake kusaidia visa vya Corona.

Gary Neville ajitolea hotel zake kusaidia visa vya Corona.

Beki wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Gary Neville ameshauri wachezaji wa ligi kuu nchini Uingereza kujitokeza kusaidia mahitaji mbalimbali kwa ajili ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.…

Read More
Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Zaidi ya Abiria 200 wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara waliokuwa wakisafiri kutoka nchini kuelekea visiwa vya Comoro wameshindwa kuendelea na safari kufuatia muongozo na masharti ya nchi zao kuzuia watu kutoka mataifa mengine kuingia katika…

Read More
Manu Dibango afariki Dunia kwa Corona.

Manu Dibango afariki Dunia kwa Corona.

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa AfroJazz Manu Dibango raia wa Cameroon afariki dunia kwa Ugonjwa wa Corona.

Read More
Mahakama Kuu ya Tanzania na Mapambano dhidi ya Corona.

Mahakama Kuu ya Tanzania na Mapambano dhidi ya Corona.

Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Covid 19, unaosababishwa na Virusi vya Corona, Mahakama kuu ya Tanzania imetilia mkazo azma yake ya kusikiliza mashauri ya kesi mbalimbali kwa njia ya…

Read More
Wananchi walia na daraja kubomoka.

Wananchi walia na daraja kubomoka.

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini huku zikileta athari za uharibifu wa miundombinu wakazi wa mtaa wa Nguzo manispaa ya Morogoro wamelalamikia changamoto ya kubomoka kwa daraja linalounganisha njia ya kwenda hospitali ya…

Read More
Bilioni Moja kuongeza usikivu wa TBC Mikoa Mitano.

Bilioni Moja kuongeza usikivu wa TBC Mikoa Mitano.

Kiasi cha shilingi bilioni moja zinatarajiwa kutumika katika kipindi cha mwaka mmoja ili kuongeza usikivu wa matangazo ya shirika la utangazaji nchini TBC katika mikoa ya Lindi, Morogoro, Kagera, Njombe na Mbeya. Akizungumza na wanahabari…

Read More
Wageni kutoka nje ya nchi wapungua kwa asilimia 99.

Wageni kutoka nje ya nchi wapungua kwa asilimia 99.

Siku moja baada ya Agizo la Mhe.Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kuzitaka mamlaka husika kuwaweka karantini siku 14 kwa Gharama Zao Wageni wanaotoka nchi zenye maambukizi ya virusi vya corona…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!