1. Home
  2. Author Blogs

Author: clement

clement

Changamoto za Wazee Mkoani Simiyu.

Changamoto za Wazee Mkoani Simiyu.

Wazee Mkoani Simiyu, wamemuomba Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Sherehe ya Siku ya Wazee Octoba Mosi mwaka huu, popote pale zitakapofanyika ili waweze kumueleza mambo yao yanayowasibu, huku wakitaka kila…

Read More
Wakulima wahoji wanunuzi wa Pamba kuhusu malipo.

Wakulima wahoji wanunuzi wa Pamba kuhusu malipo.

Wakulima wa Pamba mkoani Simiyu wamedai kwamba baadhi ya Kampuni za ununuzi wa Pamba zinaendelea kuwakopa na kusababisha waendelee kuishi maisha magumu, ambapo mpaka sasa Pamba iliyokusanywa na Vyama Vya Msingi vya Ushirika (AMCOS), Kilo…

Read More
Mtuhumiwa wa ukataji Mikarafuu kijiji cha Uzini, mbaroni.

Mtuhumiwa wa ukataji Mikarafuu kijiji cha Uzini, mbaroni.

Wananchi wa Kijiji cha Uzini na majirani wametakiwa kujitokeza kutoa ushahidi dhidi ya mtuhumiwa ambaye ametajwa kuwa tishio baada ya kutiwa mikononi mwa Polisi kufuatia kukata zaidi ya miti ya mikarafuu 200 mali za wakulima.…

Read More
Mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6 katika Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya.

Mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6 katika Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya.

Mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6 katika Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya, umekataliwa kuwekwa jiwe la Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa baada ya taarifa za mradi…

Read More
Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia  maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Polisi wa kutuliza ghasia wamesambazwa mjini Hong Kong mwishoni mwa wiki ili kuzima mipango ya waandamanji wanaodai demokrasia. Maandamano hayo ambayo yamelenga uwanja wa ndege ikiwa ni katika hatua ya kwanza ya vuguvugu la kuushawishi…

Read More
Robert Mugabe, shujaa wa Ukombozi watangazwa muda rasmi wa maombolezo.

Robert Mugabe, shujaa wa Ukombozi watangazwa muda rasmi wa maombolezo.

Wananchi nchini Zimbabwe leo wameanza rasmi kipindi cha maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wake wa zamani Robert Mugabe aliyeiongoza nchi hiyo kwa miaka 37. Robert Mugabe, rais wa kwanza wa Zimbabwe baada ya…

Read More
Utafiti, watu waliopona Ebola wasumbuliwa na Figo.

Utafiti, watu waliopona Ebola wasumbuliwa na Figo.

Utafiti wa watalaam wa afya uliofanywa nchini Guinea umeonesha watu wengi waliopona baada ya kupata tiba na chanjo ya Ebola, afya zao zilidhoofika baada ya kuanza kusumbuliwa na figo. Taarifa hiyo ya utafiti iliyochapishwa katika…

Read More
Utekelezaji wa Mikopo  asilimia nne kwa Vijana.

Utekelezaji wa Mikopo asilimia nne kwa Vijana.

Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa mkopo wa pikipiki kwa Vijana sabini kutoka katika kikundi cha Tanga One Youth group kwaajili ya shughuli za kusafirisha abiria maarufu kama bodaboda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa…

Read More
Wanafunzi wenye sifa wakosa nafasi  vyuo vya Ualimu vya Serikali .

Wanafunzi wenye sifa wakosa nafasi vyuo vya Ualimu vya Serikali .

Wanafunzi 5,252 sawa na asilimia 75% kati ya 7,025 waliokamilisha maombi ya udahili wa kujiunga na vyuo vya ualimu vya serikali wamebainika kuwa na sifa huku wanafunzi 1,773 sawa na asilimia 25% wakikosa sifa za…

Read More
Upinzani Uingereza wajadili kuhusu Uchaguzi wa mapema.

Upinzani Uingereza wajadili kuhusu Uchaguzi wa mapema.

Vyama vya upinzani vya nchini Uingereza vinajiandaa kuamua kama viunge mkono wito wa Waziri Mkuu Boris Johnson wa kuitishwa uchaguzi mkuu kabla ya wakati au viendelee kumpa shinikizo waziri mkuu huyo. Kiongozi wa Chama kikuu…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!