1. Home
  2. Author Blogs

Author: clement

clement

VIDEO: Rais Dkt. Magufuli akiendesha Gari la jeshi.

VIDEO: Rais Dkt. Magufuli akiendesha Gari la jeshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping kwa kuuendeleza ushirikiano na uhusiano mzuri wa Tanzania…

Read More
Asasi za Kiraia zatakiwa kuweka wazi shughuli zao.

Asasi za Kiraia zatakiwa kuweka wazi shughuli zao.

Serikali imezitaka Asasi za kiraia nchini kujenga ushirikiano wa karibu na serikali kwa kuweka wazi kazi na taarifa za utekelezaji wa shughuli zao kwenye maeneo wanayofanyia kazi ili kuleta tija lakini pia kutekeleza matakwa ya…

Read More
Wahoji Gharama za ujenzi wa Zahanati ya Kijiji (W) Mufindi.

Wahoji Gharama za ujenzi wa Zahanati ya Kijiji (W) Mufindi.

KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa Mzee Mkongea Ali amesema mwenge wa uhuru haujaridhishwa na gharama za ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtili wilayani Mufindi mkoani Iringa baada ya watendaji wa Halmashauri hiyo kushindwa…

Read More
Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Airtel Tanzania Dkt.Omary Nundu amefariki dunia leo.

Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Airtel Tanzania Dkt.Omary Nundu amefariki dunia leo.

Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Dkt.Omary Nundu amefariki dunia leo. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam inasema Dkt. Nundu alifikishwa…

Read More
Mwili wa Mugabe warejeshwa Zimbabwe Kutoka Singapore.

Mwili wa Mugabe warejeshwa Zimbabwe Kutoka Singapore.

Maelfu ya wananchi nchini Zimbabwe wamekusanyika kuupokea mwili wa aliyekuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe ambao umesafirishwa kutoka nchini Singapore kuelekea nyumbani. Mugabe alifariki dunia wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka…

Read More
Wananchi Geita, wameiomba Serikali kuwakarabatia barabara.

Wananchi Geita, wameiomba Serikali kuwakarabatia barabara.

Wananchi wa mitaa ya Nyantorotoro B na Mbabani,Kata ya Nyankumbu Halmashauri ya Mji wa Geita wameiomba Serikali kuwakarabatia barabara inayounganisha mitaa hiyo ambayo imeharibika vibaya hali inayosababisha adha ya kusafirisha wagonjwa. Hata hivyo wakati wananchi…

Read More
Kupungua kwa Mazao ya Matunda Soko la Kariakoo.

Kupungua kwa Mazao ya Matunda Soko la Kariakoo.

Mabadiliko ya Tabianchi na ubovu wa miundombinu ya barabara imeelezwa kuwa moja vikwazo vinachosababisha kupungua kwa uingizwaji wa mazao katika soko la Kariakoo jijini Dar es salaam. Magari mengi yanayobeba mazao ya matunda, nyanya, vitunguu,…

Read More
Waziri Mkuu UK atakiwa kufanya jitihada za dakika za mwisho.

Waziri Mkuu UK atakiwa kufanya jitihada za dakika za mwisho.

Wabunge nchini Uingereza wamemtaka Waziri Mkuu Boris Johnson afanye jitihada za dakika ya mwisho kufikia makubaliano na umoja wa ulaya kabla ya nchi hiyo kujitoa katika Umoja huo. Aidha kuna wasiwasi huenda Waziri Mkuu huyo…

Read More
Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo

Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo

Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo ambapo jumla ya watahiniwa 947,221 wamesajiliwa kufanya mtihani huo asilimia 47.64 wakiwa wasichana na asilimia 52.36 ni wavulana. Akizungumza…

Read More
Biashara ya Hisa katika soko la Hisa la Dar es Salaam DSE imeshuka

Biashara ya Hisa katika soko la Hisa la Dar es Salaam DSE imeshuka

Biashara ya Hisa katika soko la Hisa la Dar es Salaam DSE imeshuka kwa wiki iliyopita baada ya kupungua kwa mauzo ya Hisa za Kampuni ya Bia Tanzania TBL, ambayo ndio mchangiaji mkubwa katika thamani…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!