1. Home
  2. Author Blogs

Author: George Ambangile

George Ambangile

TADB na PASS kuwezesha Vijana katika kilimo.

TADB na PASS kuwezesha Vijana katika kilimo.

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania TADB na Taasisi ya Kuwezesha Sekta Binafsi katika kilimo PASS, leo zimesaini makubaliano ya kuanzisha huduma maalum ya kusaidia shughuli za kilimo cha kibiashara kwa vijana, wanawake na wajasiriamali…

Read More
Kiswahili kutahiniwa Kimataifa

Kiswahili kutahiniwa Kimataifa

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Taasisi yake ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), itaanza kutoa mtihani wa kimataifa wa Kiswahili, na kutoa cheti kwa wale watakaohitimu. Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma, Katibu…

Read More
Kusuasua uendeshaji  wa Kiwanda cha Tanga Fresh.

Kusuasua uendeshaji wa Kiwanda cha Tanga Fresh.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ameagiza wataalam kutoka Serikalini kufanya Uchunguzi wa bei ya ununuzi wa Mashine ya kuchakata maziwa yanayokaa kwa muda Mrefu katika kiwanda cha Tanga Fresh baada ya Kubainika…

Read More
Waziri Jafo na Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Iringa.

Waziri Jafo na Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Iringa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jafo amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Iringa inayojengwa katika kijiji cha Mbuyuni kitongoji cha Igodikafu…

Read More
Wakandarasi wanaosusua Dar, kikaangoni.

Wakandarasi wanaosusua Dar, kikaangoni.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda ametoa Siku tano Kwa Wakandarasi ambao wamepewa zabuni za Ujenzi katika jiji la Dsm ambao Mpaka sasa hawajaanza kazi au bado wanasuasua kuanza kuwa atachukua hatua zikiwemo za…

Read More
Mashamba yasiyoendelezwa kuchunguzwa Handeni.

Mashamba yasiyoendelezwa kuchunguzwa Handeni.

Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. William Lukuvi amemuagiza Kamishna wa ardhi wa kanda ya Kaskazini pamoja na afisa ardhi wa wilaya ya Handeni kufanya uchunguzi wa mashamba makubwa yasiyoendelezwa wilayani humo…

Read More
Dkt Shein asisitiza matumizi mazuri ya Ardhi.

Dkt Shein asisitiza matumizi mazuri ya Ardhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt.Ali Mohammed Shein amesema matumizi mazuri ya ardhi na usimamizi bora wa mazingira ni misingi muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote duniani. Mhe.Rais Dkt. Shein…

Read More
Kuchelewa kwa Ujenzi wa Lami Matai

Kuchelewa kwa Ujenzi wa Lami Matai

Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imemuagiza mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kilometa mbili za barabara kwa kiwango cha lami katika mji mdogo wa Matai, Grand Tech (T) Ltd…

Read More
Halmashauri chache na  Makusanyo.

Halmashauri chache na Makusanyo.

Tathimini iliyofanywa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), inaonesha katika robo ya kwanza ya mwaka wa serikali, ni halmashauri 54 tu ndizo zilizofanikiwa kukusanya mapato kwa asilimiza zaidi ya…

Read More
Mkutano Mkuu wa  AALCO waanza leo DSM

Mkutano Mkuu wa AALCO waanza leo DSM

Tanzania imeziomba nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Bara la Asia na Bara la Afrika katika Sekta ya Sheria (AALCO), kushirikiana katika kupaza Sauti ya kuiombea Zimbabwe iondolewe vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na mataifa…

Read More
Follow On Instagram