Maoni: China na Marekani zinatarajiwa kubeba kwa pamoja wajibu kwa dunia

Siku ya Alhamisi rais Donald Trump wa Marekani alipokutana na naibu waziri mkuu wa China Bw. Liu He, aliyeongoza ujumbe wa China katika mazungumzo ya kibiashara ya duru la 9 kati ya China na Marekani, alisema anapenda kuona pande mbili zinafikia makubaliano ya kihistoria ya pande zote mapema iwezekanavyo, hali ambayo si kama tu itazinufaisha[…]

Tamasha la mwaka mpya wa jadi wa China la CMG kuleta maonesho mazuri mapya

Tamasha la Sikukuu ya Spring la mwaka 2019 litaoneshwa tarehe 4 mwezi Februari. Tamasha hilo litakaloandaliwa na Shirika kuu la Utangazaji la China CMG lina kauli mbiu ya “kujiendeleza katika zama mpya, na kusherehekea mwaka mpya wenye baraka”, na litakuwa na maonesho mazuri ya nyimbo, ngoma, opera za kichina, maigizo mafupi na mazungumzo ya kuchekesha.[…]

Rais Xi Jinping wa China atoa hotuba ya kukaribisha mwaka mpya wa 2019

Rais Xi Jinping wa China leo tarehe 31 Desemba ametoa salamu za mwaka mpya kupitia Kituo kikuu cha radio na televisheni cha taifa cha China na mtandao wa Internet, ambapo amewatakia wachina wote heri ya mwaka mpya wa 2019. Tusikilize hotuba yake. Makomredi, marafiki, mabibi na mabwana, Hamjambo! “Wakati hausimami, na msimu hutiririka kama maji”.[…]

Mfululizo wa video zinazotengenezwa kwa kufuata nukuu anazopenda rais wa China watangazwa duniani

Kabla ya Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria Mkutano wa kilele wa G20 na kufanya ziara nchini Argentina, mfululizo wa video za lugha ya Kihispania zilizotengenezwa kwa kufuata nukuu anazopenda rais Xi, zimetangazwa katika nchi zinazozungumza lugha ya kihispania kote duniani kuanzia tarehe 29. Sherehe ya uzinduzi pia ilifanyika siku hiyo mjini Buenos Aires, Argentina.[…]

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa asisitiza Walimu na wanafunzi kutunza vifaa vinavyotolewa na wahisani

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi,Christopher Ngubiagai amewataka wanafunzi na walimu wa shule ya sekondari ya kivinje iliyopo wilayani  kuhakikisha wanatunza  vifaa mbalimbali vinatolewa na wahisani pamoja na serikali katika mpango wa kuboresha elimu Akihutubia walimu,wazazi na wanafunzi wa shule hiyo baada ya kupokea msaada wa stuli 80 toka benki ya NMB,Ngubiagai pamoja na[…]

Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa zinazoingizwa China kutoka nje yameonesha nia thabiti ya China kuzifungulia mlango nchi za nje

Kwenye Mkutano wa Baraza la vyombo vya habari vya mambo ya fedha na uchumi na Jumuiya ya washauri bingwa uliofanyika alasiri ya tarehe 5, Mkuu wa Kituo kikuu cha Radio na Televisheni cha taifa Bw. Shen Haixiong alipotoa hotuba alisema, Rais Xi Jinping alitoa hotuba kwenye ufunguzi wa Maonesho ya kwanza ya Kimataifa ya Bidhaa[…]