1. Home
  2. Africa News

Category: Africa News

Jeshi la Sudan lakabiliana na uasi nchini humo.

Jeshi la Sudan lakabiliana na uasi nchini humo.

Jeshi la Sudan linayashikilia makao makuu ya kikosi cha usalama wa taifa cha nchi hiyo ambacho awali kilikuwa kitiifu kwa rais aliyepinduliwa Omar al-Bashir ambapo Jeshi hilo linatarajia kukivunja Kitengo hicho na kuunda kipya kutokana…

Read More
Shambulio la Kigaidi lauwa Walimu watatu Kenya.

Shambulio la Kigaidi lauwa Walimu watatu Kenya.

Raia watatu wameuawa baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa Kaskazini mwa Kenya katika mpaka wa Kenya na Somalia. Walimu watatu ambao si wa eneo hilo walipigwa risasi hadi…

Read More
76 wafariki dunia katika mlipuko Mogadishu.

76 wafariki dunia katika mlipuko Mogadishu.

Bomu la kutegwa ndani ya gari limelipuka katika kituo kimoja cha ukaguzi wa usalama katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuuuwa takribani watu 76 na wengine sabini kujeruhiwa vibaya. Msemaji wa serikali ya Somalia…

Read More
Jenerali Gaid Salah wa Algeria afariki dunia.

Jenerali Gaid Salah wa Algeria afariki dunia.

Jenerali Ahmed Gaid Salah ambaye alikuwa mkuu wa majeshi nchini Algeria, alipata umaarufu mkubwa baada ya kumshinikiza rais wa zamani Abdelaziz Bouteflika kujiuzulu. Baada ya kujiuzulu kwa Bouteflika mwezi Aprili, Jenerali Salah alichukua madaraka kwa…

Read More
Tanzania kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya Posta duniani.

Tanzania kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya Posta duniani.

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa maadhimisho ya miaka 40 ya Umoja wa Posta Afrika PAPU yatakayofanyika jijini Arusha januari 17-19 na kushirikisha washiriki zaidi ya mia tano (500) kutoka nchi 45 barani…

Read More
Vitisho vya mashambulizi ya kigaidi Kenya.

Vitisho vya mashambulizi ya kigaidi Kenya.

Jeshi la polisi nchini Kenya limetoa wito kwa wananchi kuwa makini kufuatia vitisho vya uwezekano wa kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka za Christmas na mwaka mpya. Akizungumza…

Read More
Watu kadhaa wamenasa katika kifusi baada ya jengo la ghorofa sita kuanguka Kenya.

Watu kadhaa wamenasa katika kifusi baada ya jengo la ghorofa sita kuanguka Kenya.

Vikosi vya usalama nchini Kenya vimeripoti kuwa watu kadhaa huenda bado wamenasa katika kifusi baada ya jengo la ghorofa sita kuanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi. Shughuli za uokoaji zinaendelea huku…

Read More
Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Kenya yafikia 65.

Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Kenya yafikia 65.

Maafisa nchini Kenya wamesema idadi ya waliokufa kutokana na athari za mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo tangu Jumamosi ya wiki iliyopita imeongezeka na kufikia 65 baada ya mvua kubwa kuendelea kunyesha hapo jana na kuua watu…

Read More
Muungano wa Vyama Tawala Ethiopia waunda Chama Kimoja.

Muungano wa Vyama Tawala Ethiopia waunda Chama Kimoja.

Muungano wa vyama tawala nchini Ethiopia umeidhinisha hatua ya kuungana kwa vyama vinne vilivyo katika misingi ya kikabila kuwa chama kimoja cha kitaifa kabla ya uchaguzi mkuu nchini humo mwaka 2020, ikiwa ni sehemu ya…

Read More
Mafuriko Nchini Somalia, Watu 182,000 wakosa Makazi.

Mafuriko Nchini Somalia, Watu 182,000 wakosa Makazi.

Umoja wa Mataifa umesema mafuriko makubwa yamesababisha watu 182,000 nchini Somalia kulazimika kuyahama makazi yao. Ofisi ya Mratibu wa shirika la misaada ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa katika taarifa yake imesema kumekuwa na uharibifu…

Read More
Follow On Instagram