1. Home
  2. Africa News

Category: Africa News

Maporomoko ya Matope Cameroon yaua 42.

Maporomoko ya Matope Cameroon yaua 42.

Nchi ya Cameroon imekumbwa na maporomoko ya matope magharibi mwa nchi hiyo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari nchini…

Read More
Machafuko yaongezeka Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Machafuko yaongezeka Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Machafuko yanaendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, licha ya mkataba wa amani uliotiwa saini hivi karibuni kati ya makundi 14 yenye silaha na serikali. Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya…

Read More
Riek Machar atahadharisha Nchi yake kurejea kwenye Vita.

Riek Machar atahadharisha Nchi yake kurejea kwenye Vita.

Kiongozi wa upinzaji nchini Sudan Kusini Riek Machar ametaka mchakato wa kuundwa serikali ya muungano uongezwe muda hadi mwisho wa mwezi Desemba mwaka huu. Machar ametahadharisha uwezekano wa nchi hiyo kurudi kwenye vita vya wenyewe…

Read More
Matokeo ya Uchaguzi Nchini Msumbiji.

Matokeo ya Uchaguzi Nchini Msumbiji.

Matokeo yasiyo rasmi ya uchaguzi wa Rais nchini Msumbiji, yanaonesha kuwa chama cha Rais Felipe Nyusi cha FRELIMO, kinaelekea kushinda. Matokeo yanayoonyesha muelekeo huo yametolewa na taasisi ya kiraia ya Saa-da-paz ya nchini humo. Wachambuzi…

Read More
Polisi Nchini Kenya yaimarisha Usalama Kaunti ya Mandera.

Polisi Nchini Kenya yaimarisha Usalama Kaunti ya Mandera.

Polisi katika Kaunti ya Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya wapo katika hali ya tahadhari, baada ya kuripotiwa kuwa washukiwa 20 wa Al Shabab kutoka nchini Somalia wameonekana katika eneo hilo. Ripoti zinasema kuwa, magaidi hao…

Read More
Rushwa kumfikisha Zuma Mahakamani.

Rushwa kumfikisha Zuma Mahakamani.

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma atafikishwa mahakamani kujibu mashitaka ya rushwa baada ya mahakama kutupilia mbali ombi lake la kutaka kesi hiyo isitishwe kabisa. Uamuzi huo wa leo una maana kuwa kutakuwa…

Read More
Waziri Mkuu Ethiopia ashinda Tuzo ya Nobel.

Waziri Mkuu Ethiopia ashinda Tuzo ya Nobel.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2019 kutokana na juhudi zake muhimu za kuutatua mzozo wa mpakani na nchi jirani ya Eritrea. Mwenyekiti wa Kamati ya Nobel nchini Norway…

Read More
Waathiriwa Utawala wa Dikteta Yahya Jammeh walipwa fidia.

Waathiriwa Utawala wa Dikteta Yahya Jammeh walipwa fidia.

Serikali ya Gambia imetoa euro 900,000 kwa mfuko wa misaada wa waathiriwa wa utawala wa Dikteta Yahya Jammeh ikiwa ni pesa zilizotokana na mali ya kiongozi huyo wa zamani wa Gambia, baada ya kukamatwa na…

Read More
Ennahda kinaongoza matokeo ya awali Uchaguzi Tunisia.

Ennahda kinaongoza matokeo ya awali Uchaguzi Tunisia.

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini Tunisia yanaonesha kuwa chama cha Kiislamu chenye msimamo wa wastani, Ennahda kinaweza kuibuka na ushindi katika bunge lijalo. Muda mfupi baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa…

Read More
Zaidi ya Watu 20 wauawa kwa Shambulio la mgodi nchini Burkina Faso.

Zaidi ya Watu 20 wauawa kwa Shambulio la mgodi nchini Burkina Faso.

Zaidi ya watu 20 wamefariki Dunia nchini Burkina Faso baada ya shambulio lililolenga eneo la mgodi kaskazini mwa nchi hiyo huku kundi moja la wanajihadi lenye mfungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu…

Read More
Follow On Instagram