1. Home
  2. Africa News

Category: Africa News

Bunge nchini Kenya lafuta kikao chake kutokana na hofu ya Corona.

Bunge nchini Kenya lafuta kikao chake kutokana na hofu ya Corona.

Hali ya wasiwasi imelikumba Bunge la Kenya baada ya ripoti kuonesha kuwa wabunge na wahudumu 17 wameambukizwa virusi vya Corona. Vikao hivyo maalum vilivyokuwa vifanyike leo Jumatano vimesitishwa ghafla kwa hofu ya maambukizi miongoni mwa…

Read More
Rais Uhuru Kenyatta atangaza marufuku ya kutotembea.

Rais Uhuru Kenyatta atangaza marufuku ya kutotembea.

Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza marufuku ya kuingia na kutoka katika kaunti za Nairobi, Kilifi, Kwale na Mombasa huku idadi ya maambukizi ya virusi vya corona ikiongezeka baada ya watu 16 kuthibitishwa…

Read More
Rais na mawaziri wa Malawi kukatatwa 10% ya mishahara yao.

Rais na mawaziri wa Malawi kukatatwa 10% ya mishahara yao.

Rais wa Malawi na mawaziri wote nchini humo watakatwa asilimia kumi ya mishahara yao ya miezi mitatu ili kupata fedha za kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona. Rais Peter Mutharika alitangaza hatua hiyo ili…

Read More
Kenya yathibitisha kuongezeka kwa wagonjwa wanne wa COVID-19 jumla ni 126.

Kenya yathibitisha kuongezeka kwa wagonjwa wanne wa COVID-19 jumla ni 126.

Serikali nchini Kenya kupitia kwa Waziri waAfya nchini humo Mutahi Kagwe leo imetangaza kuongezeka kwa Wagonjwa wa Ugonjwa wa Covid-19 uenezwao na Virusi vya Corona baada ya watu wanne kuthibitishwa kuambukizwa Virusi hivyo na kufanya…

Read More
Kenya yaripoti maambukizi mapya 12 ya Corona.

Kenya yaripoti maambukizi mapya 12 ya Corona.

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia 122 baada ya watu wengine 12 kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi hivyo ndani ya saa 24 zilizopita. Katibu wa kudumu wa Wizara…

Read More
Idadi ya vifo na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 vyaongezeka nchini Kenya.

Idadi ya vifo na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 vyaongezeka nchini Kenya.

Serikali ya Kenya leo imetangaza kuongezeka kwa Idadi ya Maambukizi ya virusi vya corona nchini humo kufikia jumla ya watu 110 baada ya watu 29 kuthibitishwa kuwa na wameambukizwa virusi hivyo Waziri wa Afya Mutahi…

Read More
Virusi vya Corona, takribani watu 172 wamepoteza maisha barani Afrika.

Virusi vya Corona, takribani watu 172 wamepoteza maisha barani Afrika.

Kituo cha udhibiti magonjwa cha Umoja wa Afrika kimesema takribani watu 172 wamepoteza maisha baada ya kupata maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika. Ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID-19, tayari umeenea katika mataifa…

Read More
Rais Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14.

Rais Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14.

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametoa amri kwa raia wake kote nchini humo kutotembea ovyo kuanzia saa moja jioni hadi kumi na mbili asubuhi ,amri ambayo ilitazamiwa kuanza kutekelezwa kuanzia usiku wa kuamkia leo katika…

Read More
Idadi ya wagonjwa wa Covid – 19 Kenya yafikia 50.

Idadi ya wagonjwa wa Covid – 19 Kenya yafikia 50.

Waziri Afya wa Kenya Mutahi Kagwe leo Machi 30 ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wanane wa ugonjwa wa Covid -19 na kufanya idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 50 Habari zinasema Waziri Kagwe amesema kuwa wagonjwa…

Read More
Serikali ya Kenya yathibitisha wagonjwa wengine 7 wa Corona.

Serikali ya Kenya yathibitisha wagonjwa wengine 7 wa Corona.

Serikali ya Kenya imethibitisha wagonjwa wengine Saba wa maambukizi ya ugonjwa wa Corona, huku Uganda ikiwa na wagonjwa watano zaidi wa ugonjwa huo hatari. Akizungumza katika kikao na wanahabri waziri wa afya nchini Kenya Mutahi…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!