1. Home
  2. Business

Category: Business

Wamiliki na wasindikaji wa viwanda vya Sembe Njombe wazungumzia soko kushuka.

Wamiliki na wasindikaji wa viwanda vya Sembe Njombe wazungumzia soko kushuka.

Wamiliki na wasindikaji wa viwanda vya kuchakata unga wa Sembe mkoani Njombe wamesema kutokana na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona kushika kasi ulimwenguni, umesababisha biashara yao kuteteleka kimtaji kutokana na wateja kupungua.…

Read More
Bei ya Mchele Tabora Yashuka.

Bei ya Mchele Tabora Yashuka.

Bidhaa ya Mchele mkoani Tabora imeendelea kushuka siku hadi siku ambapo kwa sasa bei ya jumla ya kilo moja inatajwa kuwa kati ya Shilingi mia nane na elfu moja huku bei ya rejareja ikielezwa kuwa…

Read More
Bei ya Mafuta kushuka kwa kiwango kikubwa.

Bei ya Mafuta kushuka kwa kiwango kikubwa.

Bei ya mafuta imeshuka kwa kiwango kikubwa ambacho hakijawahi kuonekana kwa zaidi ya miongo miwili . Dalili zinazonesha kwamba nchi za Ulaya na Marekani ambazo zimekumbwa na janga la virusi vya Corona huenda zimeshindwa kuzisaidia…

Read More
Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Zaidi ya Abiria 200 wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara waliokuwa wakisafiri kutoka nchini kuelekea visiwa vya Comoro wameshindwa kuendelea na safari kufuatia muongozo na masharti ya nchi zao kuzuia watu kutoka mataifa mengine kuingia katika…

Read More
Malipo ya ada ya pasipoti uhamiaji kupitia Airtel Money.

Malipo ya ada ya pasipoti uhamiaji kupitia Airtel Money.

Idara ya Uhamiaji nchini katika kuendelea kutekeleza maelekezo ya serikali kufanya malipo kwa mfumo wa kielekroniki, imeingia makubaliano na kampuni ya simu ya Airtel ili kutumia huduma ya Airtel Money kwa malipo ya ada za…

Read More
BOT imezindua Daftari la kudumu la watoa huduma za kifedha nchini.

BOT imezindua Daftari la kudumu la watoa huduma za kifedha nchini.

Benki Kuu ya Tanzania leo imezindua Daftari la kudumu la watoa huduma za kifedha nchini, ambalo lengo lake ni kusajili vituo na watoa huduma za kifedha nchini kwa ajili ya kupata takwimu za kijiografia zitazowezesha…

Read More
Serikali yasaini Makubaliano na Kampuni ya Barrick.

Serikali yasaini Makubaliano na Kampuni ya Barrick.

Serikali ya Tanzania imetiliana saini makubaliano na Kampuni ya madini ya Barrick kuhusu umiliki wa hisa asilimia 16 kwenye kampuni ya madini ya Twiga baada ya mvutano uliochukua takribani miaka mitatu lengo likiwa ni kuiwezesha…

Read More
Wafanyabiashara waitaka NEMC kusaka viwanda bubu.

Wafanyabiashara waitaka NEMC kusaka viwanda bubu.

Wafanyabiashara Soko Kuu la Halmashauri ya Mji Makambako mkoani Njombe wameshauri kuwa ni vyema serikali kupitia Mamlaka ya Taifa ya Uhifadhi wa Mazingira (Nemc) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango la Taifa (TBS) kuvidhibiti viwanda…

Read More
NEMC yaendesha oparesheni duka kwa duka.

NEMC yaendesha oparesheni duka kwa duka.

Baraza la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa mazingira NEMC limeendesha oparesheni maalumu katika masoko matatu ya manispaa ya Tabora na kufanikiwa kukamata shehena ya mifuko mbadala na vifungashio ambavyo havikidhi viwango vyenye thamani zaidi…

Read More
Benki ya wakulima yawapiga jeki wakulima wa mpunga.

Benki ya wakulima yawapiga jeki wakulima wa mpunga.

Wakulima wadogo wa kilimo cha umwagiliaji mpunga ushirika wa UWALE katika kijiji cha Lemkuna kata ya Ngorika wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameshauriwa kuongeza thamani katika mazao yao kwa kuanzisha viwanda vya kuchakata mpunga na kuuza…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!