1. Home
  2. International News

Category: International News

Watu 32 wafariki dunia Syria kufuatia ajali ya gari.

Watu 32 wafariki dunia Syria kufuatia ajali ya gari.

Takriban watu 32 wamepoteza maisha baada ya lori la mafuta kugonga mabasi mawili na magari mengine kadhaa katika barabara inayounganisha mji mkuu wa Syria, Damascus na mkoa wa Homs. Kwa mujibu wa shirika la habari…

Read More
Iran yaachia huru wafungwa kuzuia maambukizi ya Corona.

Iran yaachia huru wafungwa kuzuia maambukizi ya Corona.

Iran imewaachia huru kwa muda wafungwa zaidi ya 54,000 ikiwa ni miongoni mwa jitihada za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa corona katika magereza yaliyo na msongamano wa watu. Msemaji wa mahakama Gholamhossein…

Read More
Saudi Arabia yasitisha usafiri katika maeneo matakatifu kwa hofu ya Corona.

Saudi Arabia yasitisha usafiri katika maeneo matakatifu kwa hofu ya Corona.

Saudi Arabia leo imesitisha safari kuelekea katika maeneo matakatifu ya kiislamu kuhusiana na hofu ya janga la virusi vya corona miezi kadhaa kabla ya ibada ya hijja, hatua inayojiri wakati Mashariki ya Kati ikithibitisha visa…

Read More
Mtaalamu wa China asema, COVID-19 kudhibitiwa kabisa nchini China April.

Mtaalamu wa China asema, COVID-19 kudhibitiwa kabisa nchini China April.

Kiongozi wa tume ya watalaamu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa huo Dokta Zhong Nanshan amesema, China ina imani kuwa, mlipuko wa virusi vya korona (COVID-19) utadhibitiwa kabisa itakapofika mwisho wa mwezi Aprili. Akizungumza na…

Read More
Kifo cha Corona chathibitishwa nchini Ufaransa.

Kifo cha Corona chathibitishwa nchini Ufaransa.

Wizara ya Afya nchini Ufaransa imesema Mtu wa kwanza amefariki dunia baada ya kuambukizwa virusi vya Covid-19 hapojana katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris. Wizara hiyo imeeleza kuwa Aliyefariki ni mwanaume mwenye umri wa miaka…

Read More
China yaripoti kupungua maambukizi mapya ya COVID-19.

China yaripoti kupungua maambukizi mapya ya COVID-19.

China imeanza kuwa na matumaini kufuatia kupungua maambukizi mapya ya virusi vya Corona kitaalamu Covid-19, lakini wasiwasi umeongezeka nchini Japan kutokana na vifo vya abiria wawili walioambukizwa virusi hivyo kwenye meli iliyozuiliwa kwenye Pwani ya…

Read More
Kutafuta amani nchini Libya.

Kutafuta amani nchini Libya.

Shirika la Habari la Urusi (RIA) limeripoti kuwa mbabe wa kivita wa Libya Khalifa Haftar amesema yupo tayari kusitishwa kwa mapigano iwapo mamluki wa Uturuki na Syria wataondoka nchini humo na iwapo Uturuki itaacha kuipatia…

Read More
Merkel alaani shambulizi lililowaua watu tisa Ujerumani.

Merkel alaani shambulizi lililowaua watu tisa Ujerumani.

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amelaani alichokiita sumu ya ubaguzi baada ya mshambuliaji mwenye itikadi kali kuwauwa watu tisa katika baa ya shisha na mgahawa katika mji wa Ujerumani wa Hanau. Akizungumza mjini Berlin Merkel…

Read More
Shambulizi lililoua watu 11 Ujerumani lachunguzwa.

Shambulizi lililoua watu 11 Ujerumani lachunguzwa.

Waendesha mashtaka nchini Ujerumani wamesema kuwa wanafanya uchunguzi kuhusu tukio la ufyatuaji risasi katika mji wa Hanau nchini humo ambalo limesababisha vifo vya watu 11, akiwemo mshukiwa wa shambulizi hilo wakati kukiwa na taarifa kuwa…

Read More
Wawili wafariki dunia Iran kutokana na Corona.

Wawili wafariki dunia Iran kutokana na Corona.

Iran imethibitisha vifo vya watu wawili vilivyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona vikiwa ni vifo vya kwanza kuripotiwa eneo la Mashariki ya Kati. Maafisa wa afya nchini Iran, wamesema wagonjwa hao ambao ni wanaume…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!