1. Home
  2. International News

Category: International News

Rais Abdel Fattah al Sissi wa Misri amekutana na waziri mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni wa Sudan

Rais Abdel Fattah al Sissi wa Misri amekutana na waziri mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni wa Sudan

Rais Abdel Fattah al Sissi wa Misri amekutana na waziri mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni wa Sudan Abdallah Hamdok kabla ya kuelekea jijini New York kuhudhuria mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa. Kwa mujibu wa taarifa…

Read More
Serikali ya Uingereza imejitetea mbele ya Mahakama ya juu.

Serikali ya Uingereza imejitetea mbele ya Mahakama ya juu.

Serikali ya Uingereza imejitetea mbele ya mahakama ya juuya nchi hiyo, ikisema uamuzi wa waziri mkuu Boris Johnson kuahirisha vikao vya bunge wiki chache tu kabla ya nchi hiyo kujitoa katika Umoja wa Ulaya, ilikuwa…

Read More
Netanyahu ashindwa kupata Idadi ya Kutosha ya Wabunge.

Netanyahu ashindwa kupata Idadi ya Kutosha ya Wabunge.

Matokeo ya awali katika uchaguzi wa Israel yanaonyesha kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu pamoja na washirika wake wa siasa za kidini na kizalendo wameshindwa kupata idadi ya kutosha ya wabunge katika uchaguzi wa kitaifa uliofanyika…

Read More
Netanyahu akiri Mchuano wa Uchaguzi wa Urais ni mkali.

Netanyahu akiri Mchuano wa Uchaguzi wa Urais ni mkali.

Waziri Mkuu wa Israel amepiga kura yake leo ambapo amekiri kwamba uchaguzi mkuu huo ni mchuano mkali. Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura alitoa wito kwa raia wote wa Israel kujitokeza na kupiga kura,…

Read More
Wananchi wa Tunisia, wanasubiri matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa Urais

Wananchi wa Tunisia, wanasubiri matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa Urais

Wananchi wa Tunisia, wanasubri matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa urais baada ya kupiga kura mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo karibu nusu ya wapiga kura walijitokeza kushiriki katika uchaguzi huo wa pili tangu kuondolewa madarakani…

Read More
Spika amuonya Johnson kwa Kutoheshimu Sheria.

Spika amuonya Johnson kwa Kutoheshimu Sheria.

Spika wa bunge la Uingereza John Bercow amemuonya waziri mkuu Boris Johnson kuhusu kutoheshimu sheria kwa kukataa kuomba kusogezwa mbele muda wa nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya ama Brexit. Spika huyo ameapa kupinga jaribio…

Read More
Sakata la Uingereza Kujiondoa EU.

Sakata la Uingereza Kujiondoa EU.

Mjumbe wa Umoja wa Ulaya anayesimamia mchakato wa BREXIT amesema jumuiya hiyo bado inasubiri mapendekezo kutoka kwa waziri mkuu Boris Johnson ili kuumaliza mkwamo kuhusu suala la nchi hiyo ya Uingereza kujitowa katika Umoja huo,hatua…

Read More
Waziri Mkuu UK atakiwa kufanya jitihada za dakika za mwisho.

Waziri Mkuu UK atakiwa kufanya jitihada za dakika za mwisho.

Wabunge nchini Uingereza wamemtaka Waziri Mkuu Boris Johnson afanye jitihada za dakika ya mwisho kufikia makubaliano na umoja wa ulaya kabla ya nchi hiyo kujitoa katika Umoja huo. Aidha kuna wasiwasi huenda Waziri Mkuu huyo…

Read More
Maandamano Mjini Hong Kong.

Maandamano Mjini Hong Kong.

Mamia ya wanafunzi waliovaa sare za shule huku wakiwa wamejifunika nyuso, wameandamana leo huku wakiwa wameshikana mikono kote mjini Hong Kong wakiunga mkono maandamano ya kuipinga serikali kufuatia makabiliano mengine ya juma lililopita kati ya…

Read More
Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia  maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Polisi wa kutuliza ghasia wamesambazwa mjini Hong Kong mwishoni mwa wiki ili kuzima mipango ya waandamanji wanaodai demokrasia. Maandamano hayo ambayo yamelenga uwanja wa ndege ikiwa ni katika hatua ya kwanza ya vuguvugu la kuushawishi…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!