1. Home
  2. International News

Category: International News

Wananchi wa Tunisia, wanasubiri matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa Urais

Wananchi wa Tunisia, wanasubiri matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa Urais

Wananchi wa Tunisia, wanasubri matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa urais baada ya kupiga kura mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo karibu nusu ya wapiga kura walijitokeza kushiriki katika uchaguzi huo wa pili tangu kuondolewa madarakani…

Read More
Spika amuonya Johnson kwa Kutoheshimu Sheria.

Spika amuonya Johnson kwa Kutoheshimu Sheria.

Spika wa bunge la Uingereza John Bercow amemuonya waziri mkuu Boris Johnson kuhusu kutoheshimu sheria kwa kukataa kuomba kusogezwa mbele muda wa nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya ama Brexit. Spika huyo ameapa kupinga jaribio…

Read More
Sakata la Uingereza Kujiondoa EU.

Sakata la Uingereza Kujiondoa EU.

Mjumbe wa Umoja wa Ulaya anayesimamia mchakato wa BREXIT amesema jumuiya hiyo bado inasubiri mapendekezo kutoka kwa waziri mkuu Boris Johnson ili kuumaliza mkwamo kuhusu suala la nchi hiyo ya Uingereza kujitowa katika Umoja huo,hatua…

Read More
Waziri Mkuu UK atakiwa kufanya jitihada za dakika za mwisho.

Waziri Mkuu UK atakiwa kufanya jitihada za dakika za mwisho.

Wabunge nchini Uingereza wamemtaka Waziri Mkuu Boris Johnson afanye jitihada za dakika ya mwisho kufikia makubaliano na umoja wa ulaya kabla ya nchi hiyo kujitoa katika Umoja huo. Aidha kuna wasiwasi huenda Waziri Mkuu huyo…

Read More
Maandamano Mjini Hong Kong.

Maandamano Mjini Hong Kong.

Mamia ya wanafunzi waliovaa sare za shule huku wakiwa wamejifunika nyuso, wameandamana leo huku wakiwa wameshikana mikono kote mjini Hong Kong wakiunga mkono maandamano ya kuipinga serikali kufuatia makabiliano mengine ya juma lililopita kati ya…

Read More
Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia  maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Polisi wa kutuliza ghasia wamesambazwa mjini Hong Kong mwishoni mwa wiki ili kuzima mipango ya waandamanji wanaodai demokrasia. Maandamano hayo ambayo yamelenga uwanja wa ndege ikiwa ni katika hatua ya kwanza ya vuguvugu la kuushawishi…

Read More
Robert Mugabe, shujaa wa Ukombozi watangazwa muda rasmi wa maombolezo.

Robert Mugabe, shujaa wa Ukombozi watangazwa muda rasmi wa maombolezo.

Wananchi nchini Zimbabwe leo wameanza rasmi kipindi cha maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wake wa zamani Robert Mugabe aliyeiongoza nchi hiyo kwa miaka 37. Robert Mugabe, rais wa kwanza wa Zimbabwe baada ya…

Read More
Utafiti, watu waliopona Ebola wasumbuliwa na Figo.

Utafiti, watu waliopona Ebola wasumbuliwa na Figo.

Utafiti wa watalaam wa afya uliofanywa nchini Guinea umeonesha watu wengi waliopona baada ya kupata tiba na chanjo ya Ebola, afya zao zilidhoofika baada ya kuanza kusumbuliwa na figo. Taarifa hiyo ya utafiti iliyochapishwa katika…

Read More
Upinzani Uingereza wajadili kuhusu Uchaguzi wa mapema.

Upinzani Uingereza wajadili kuhusu Uchaguzi wa mapema.

Vyama vya upinzani vya nchini Uingereza vinajiandaa kuamua kama viunge mkono wito wa Waziri Mkuu Boris Johnson wa kuitishwa uchaguzi mkuu kabla ya wakati au viendelee kumpa shinikizo waziri mkuu huyo. Kiongozi wa Chama kikuu…

Read More
Uingereza na Sakata la Kujitoa katika Umoja wa nchi za Ulaya ‘ Brexit ‘

Uingereza na Sakata la Kujitoa katika Umoja wa nchi za Ulaya ‘ Brexit ‘

Serikali ya Uingereza imesema imeachana na mpango wa kupinga sheria inayoitaka kuahirisha tarehe ya kuiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya. Msemaji wa serikali hiyo amesema hii leo mjini London, kwamba wameachana na hatua ya…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!