1. Home
  2. International News

Category: International News

Iran yaapa kuendeleza mashambulizi dhidi ya Marekani.

Iran yaapa kuendeleza mashambulizi dhidi ya Marekani.

Kiongozi Mkuu nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema kwamba mashambulizi ya makombora yalilofanywa na Iran kwenye kambi za kijeshi zinazotumiwa na Marekani nchini Iraq ni kofi la uso kwa Marekani ingawa amesisitiza hatua hiyo ya…

Read More
Iran yashambulia ngome za Jeshi za Marekani.

Iran yashambulia ngome za Jeshi za Marekani.

Wizara ya ulinzi ya Marekani imethibitisha kuwa Iran imezishambulia kwa makombora kambi zake mbili zilizoko Iraq ambazo zinawahifadhi wanajeshi wa Marekani na majeshi ya muungano yaliyoko nchini humo. Msemaji wa wizara hiyo, Jonathan Hoffman amesema…

Read More
Mazishi ya Jenerali wa Iran, baadhi wamepoteza maisha.

Mazishi ya Jenerali wa Iran, baadhi wamepoteza maisha.

Kituo cha televisheni cha serikali ya Iran kimeripoti kutokea kwa mkanyagano wakati wa mazishi ya jenerali Qassem Soleiman katika mji aliozaliwa, ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Mapema leo Wairani walianza kukusanyika kwa…

Read More
Iran yatakiwa kujizuia na ghasia.

Iran yatakiwa kujizuia na ghasia.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ameitaka Iran kujizuia na ghasia zaidi na uchochezi. Matamshi hayo ameyatoa katika mkutano wa mabalozi wa NATO mjini Brussels, uliokuwa unaijadili hali ya Mashariki ya…

Read More
Khamenei aongoza Swala katika mazishi ya Jenerali Soleiman.

Khamenei aongoza Swala katika mazishi ya Jenerali Soleiman.

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameswali mbele ya jeneza la kiongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa nchi hiyo, Jenerali Qassem Soleimani na wengine waliouwawa katika shambulizi la roketi la Marekani karibu…

Read More
Iran yatishia kuanza kutumia teknolojia yake ya nyuklia.

Iran yatishia kuanza kutumia teknolojia yake ya nyuklia.

Iran imetangaza kuwa haitazingatia tena vikwazo vyovyote vilivyowekwa katika mpango wa nyuklia wa mwaka 2015. Katika taarifa yake, Taifa hilo limesema kuwa halitaangalia kiwango gani ambacho kina uwezo wa kutumia katika utajiri wake kwa upande…

Read More
Mkuu wa vikosi vya Wakurdi nchini Iraq auawa.

Mkuu wa vikosi vya Wakurdi nchini Iraq auawa.

Taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani imethibitisha kifo cha Kamanda huyo ikiwa ni hatua ya kuwalinda wafanyakazi wa Marekani nchini Iraq ambapo ripoti ya mashambulizi katika uwanja wa ndege wa kimataifa Baghdad imesema watu…

Read More
Iran yainyooshea kidole Marekani.

Iran yainyooshea kidole Marekani.

Serikali ya Iran imemuita Afisa wa Ubalozi wa Uswisi, nchi ambayo inawakilisha maslahi ya Marekani nchini humo kumlalamikia juu ya ilichodai kuwa vitendo vya uchokozi wa Marekani katika nchi jirani Iraq. Kulingana na taarifa kutoka…

Read More
Salam za Mwaka Mpya 2020 kutoka kwa Rais wa China Xi Jinping.

Salam za Mwaka Mpya 2020 kutoka kwa Rais wa China Xi Jinping.

Makomredi, marafiki, mabibi na mabwana, Wakati mwaka 2020 unapokaribia, ningependa kuwapa salamu za mwaka mpya kutoka Beijing. Mwaka 2019, tumeendelea kupiga hatua mbele kwa jasho na bidii. Tumedumisha maendeleo yenye ubora wa hali ya juu,…

Read More
Viongozi watatu wasaka suluhisho kuhusu Libya.

Viongozi watatu wasaka suluhisho kuhusu Libya.

Msemaji wa Serikali ya Ujerumani amesema Kansela Angela Merkel amezungumza na viongozi wenzake wa Uturuki na Urusi kuhusu juhudi za kupata suluhisho la kidiplomasia kwa ajili ya Libya. Kansela Merkel alizungumza jana mara mbili kwa…

Read More
Follow On Instagram