1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa wito kwa Taasisi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa wito kwa Taasisi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa wito kwa taasisi binafsi, za umma na hata watu binafsi kushirikiana na taasisi hiyo ili kupata takwimu zilizo bora na sahihi, zitakazoweza kutumiwa katika maendeleo yao na jamii…

Read More
Maagizo ya IGP Sirro kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote ya Bara na Visiwani.

Maagizo ya IGP Sirro kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote ya Bara na Visiwani.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ametoa maagizo kadhaa kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote ya Bara na Visiwani ikiwemo kuwataka kuhakikisha wanajiepusha na vitendo vya Rushwa, matumizi yasiyo sahihi ya…

Read More
Licha ya Rais Dkt. Magufuli kuwaondolea ushuru,bado bei ya Nyama imebaki vile vile

Licha ya Rais Dkt. Magufuli kuwaondolea ushuru,bado bei ya Nyama imebaki vile vile

Licha ya Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuwaondolea ushuru wa kuchinja ng’ombe katika machinjio ya Vingunguti Jijini dar es salaam bado bei ya nyama imebaki vile vile hatua ambayo wafanyabiashara wa mazao ya wanyama hao walidhani…

Read More
Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukatili wa kijinsia

Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukatili wa kijinsia

Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukatili wa kijinsia kutokana na kushamiri kwa mfumo dume katika jamii wilayani humo na kuhitaji juhudi kubwa ya utoaji elimu ili kuangamiza vitendo hivyo vinavyosababisha…

Read More
Serikali imesisitiza kuwa Elimu ya Tanzania bado ni bora.

Serikali imesisitiza kuwa Elimu ya Tanzania bado ni bora.

Serikali imesisitiza kuwa elimu ya Tanzania bado ni bora kama ilivyo katika maeneo mengine Duniani, pamoja na changamoto zilizopo, ambazo zikiondolewa elimu itaendelea kuwa bora zaidi. Msisitizo huo umetolewa jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa…

Read More
Wizara yatoa Taarifa kuhusu Ajali ya Ndege Ndogo.

Wizara yatoa Taarifa kuhusu Ajali ya Ndege Ndogo.

Ofisi ya Kaimu Katibu Mkuu Uchukuzi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, imetoa taarifa fupi kwa vyombo vya habari kuhusu ajali ya ndege ndogo ya kampuni ya AURIC AIR iliyoanguka na kuharibika kabisa majira…

Read More
Mradi wa Umeme wa maji unaozalisha kilowati 1700,sawa na Megawati 1.7, utatumiwa  na vijiji 20

Mradi wa Umeme wa maji unaozalisha kilowati 1700,sawa na Megawati 1.7, utatumiwa na vijiji 20

Mradi wa Umeme wa maji unaozalisha kilowati 1700,sawa na Megawati 1.7, utatumiwa na vijiji 20 vilivyopo kwenye Kata ya Lugarawa, Wilayani Ludewa mkoani Njombe umepokewa kwa furaha na wananchi wa kata hiyo kwa kuwa utawasaidia…

Read More
Mgogoro wavunja kikao cha Baraza, Lushoto.

Mgogoro wavunja kikao cha Baraza, Lushoto.

Mgogoro wa uwekezaji katika shamba la mnazi wilayani Lushoto ambao Mei mwaka huu ulisababisha watumishi watatu kufukuzwa kazi umechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa hoja binafsi inayowatuhumu baadhi ya viongozi na kusababisha kuvunjika kwa kikao…

Read More
SMZ yapongezwa kuboresha miundombinu ya Barabara .

SMZ yapongezwa kuboresha miundombinu ya Barabara .

Wajumbe wa Bodi za mifuko ya barabara, kutoka nchi za afrika mashariki na kati wameridhishwa na juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ya kuboresha huduma za mawasiliano ya Barabara kwa kuzingatia sheria na…

Read More
Waziri aridhishwa na ujenzi wa Hospitali ya (W) Mufindi.

Waziri aridhishwa na ujenzi wa Hospitali ya (W) Mufindi.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambapo pia amesema…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!