1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Wizara imetolea Ufafanunzi kwa umma wa Watanzania  kuhusu uvumi kuwepo Ugonjwa, Ebola.

Wizara imetolea Ufafanunzi kwa umma wa Watanzania kuhusu uvumi kuwepo Ugonjwa, Ebola.

Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imetolea Ufafanunzi kwa umma wa Watanzania kuhusu uvumi ulioenea katika mitandao ya kijamii na katika baadhi ya Vyombo rasmi vya Habari juu ya kuwepo Ugonjwa hatari wa Ebola…

Read More
Misaada ya bima za afya CHF, iliboreshwa kwa watu wenye mahitaji maalum, mifuko ya saruji 30, matofali 2000.

Misaada ya bima za afya CHF, iliboreshwa kwa watu wenye mahitaji maalum, mifuko ya saruji 30, matofali 2000.

Kampuni ya azani logistic kwa kushirikiana na serikali imeazimia kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wilayani kahama, mkoani Shinyanga kwa kukabiliana na changamoto za kimaendeleo kwa kutoa misaada mbalimbali ikiwemo bima za afya CHF, iliboreshwa kwa…

Read More
Upigaji wa Kura za Kuchagua wenyeviti wa Serikali za Mitaa.

Upigaji wa Kura za Kuchagua wenyeviti wa Serikali za Mitaa.

Halmashauri za Manispaa ya Kinondoni na Ilala jijini zimetangaza Idadi ya Mitaa pamoja na Mipaka katika manispaa hizo ambayo itatumika katika zoezi la Upigaji wa Kura za Kuchagua wenyeviti wa Serikali za Mitaa pamoja na…

Read More
VIDEO: Rais Dkt. Magufuli akiendesha Gari la jeshi.

VIDEO: Rais Dkt. Magufuli akiendesha Gari la jeshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping kwa kuuendeleza ushirikiano na uhusiano mzuri wa Tanzania…

Read More
Asasi za Kiraia zatakiwa kuweka wazi shughuli zao.

Asasi za Kiraia zatakiwa kuweka wazi shughuli zao.

Serikali imezitaka Asasi za kiraia nchini kujenga ushirikiano wa karibu na serikali kwa kuweka wazi kazi na taarifa za utekelezaji wa shughuli zao kwenye maeneo wanayofanyia kazi ili kuleta tija lakini pia kutekeleza matakwa ya…

Read More
Wahoji Gharama za ujenzi wa Zahanati ya Kijiji (W) Mufindi.

Wahoji Gharama za ujenzi wa Zahanati ya Kijiji (W) Mufindi.

KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa Mzee Mkongea Ali amesema mwenge wa uhuru haujaridhishwa na gharama za ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtili wilayani Mufindi mkoani Iringa baada ya watendaji wa Halmashauri hiyo kushindwa…

Read More
Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Airtel Tanzania Dkt.Omary Nundu amefariki dunia leo.

Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Airtel Tanzania Dkt.Omary Nundu amefariki dunia leo.

Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Dkt.Omary Nundu amefariki dunia leo. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam inasema Dkt. Nundu alifikishwa…

Read More
Wananchi Geita, wameiomba Serikali kuwakarabatia barabara.

Wananchi Geita, wameiomba Serikali kuwakarabatia barabara.

Wananchi wa mitaa ya Nyantorotoro B na Mbabani,Kata ya Nyankumbu Halmashauri ya Mji wa Geita wameiomba Serikali kuwakarabatia barabara inayounganisha mitaa hiyo ambayo imeharibika vibaya hali inayosababisha adha ya kusafirisha wagonjwa. Hata hivyo wakati wananchi…

Read More
Kupungua kwa Mazao ya Matunda Soko la Kariakoo.

Kupungua kwa Mazao ya Matunda Soko la Kariakoo.

Mabadiliko ya Tabianchi na ubovu wa miundombinu ya barabara imeelezwa kuwa moja vikwazo vinachosababisha kupungua kwa uingizwaji wa mazao katika soko la Kariakoo jijini Dar es salaam. Magari mengi yanayobeba mazao ya matunda, nyanya, vitunguu,…

Read More
Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo

Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo

Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo ambapo jumla ya watahiniwa 947,221 wamesajiliwa kufanya mtihani huo asilimia 47.64 wakiwa wasichana na asilimia 52.36 ni wavulana. Akizungumza…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!