1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Kupungua kwa Mazao ya Matunda Soko la Kariakoo.

Kupungua kwa Mazao ya Matunda Soko la Kariakoo.

Mabadiliko ya Tabianchi na ubovu wa miundombinu ya barabara imeelezwa kuwa moja vikwazo vinachosababisha kupungua kwa uingizwaji wa mazao katika soko la Kariakoo jijini Dar es salaam. Magari mengi yanayobeba mazao ya matunda, nyanya, vitunguu,…

Read More
Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo

Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo

Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ambao utafanyika kwa siku mbili mfululizo Tanzania Bara umeanza leo ambapo jumla ya watahiniwa 947,221 wamesajiliwa kufanya mtihani huo asilimia 47.64 wakiwa wasichana na asilimia 52.36 ni wavulana. Akizungumza…

Read More
Waziri Lukuvi amezindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la Ardhi.

Waziri Lukuvi amezindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la Ardhi.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amezindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa kutumia mtandao wa simu ya mkononi kupitia Airtel Money. Uzinduzi wa ulipaji kodi ya pango…

Read More
Waliovamia Uwanja wa Ndege wapewa siku 7 kuondoka.

Waliovamia Uwanja wa Ndege wapewa siku 7 kuondoka.

Mamlaka ya viwanja vya ndege mkoa wa Tanga imetoa siku saba za kuondoka kwa wananchi waliovamia na kuweka makazi kwenye eneo hilo kwa zaidi ya miaka kumi licha ya kutolewa kwa taarifa za awali za…

Read More
Mahakama Kuu yatupa maombi ya Tundu Lissu.

Mahakama Kuu yatupa maombi ya Tundu Lissu.

Mahakama Kuu ya Tanzania Tanzania imekataa maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na maendele Chadema, Tundu Lissu kuhusu kutengua uamuzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano…

Read More
Waziri Mkuu awataka Wacuba kuwekeza Tanzania.

Waziri Mkuu awataka Wacuba kuwekeza Tanzania.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Marcelino Medina Gonzalez ambapo amewakaribisha Wacuba waje kuwekeza kwenye sekta ya kilimo, hususan…

Read More
Bunge laridhia Hifadhi Mpya ya Nyerere.

Bunge laridhia Hifadhi Mpya ya Nyerere.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia azimio la kubadili sehemu ya pori la akiba Selous lenye ukubwa wa kilomita za mraba 30,893 kuwa hifadhi ya taifa ya Nyerere. Akiwasilisha azimio hilo waziri wa…

Read More
Changamoto za Wazee Mkoani Simiyu.

Changamoto za Wazee Mkoani Simiyu.

Wazee Mkoani Simiyu, wamemuomba Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Sherehe ya Siku ya Wazee Octoba Mosi mwaka huu, popote pale zitakapofanyika ili waweze kumueleza mambo yao yanayowasibu, huku wakitaka kila…

Read More
Mtuhumiwa wa ukataji Mikarafuu kijiji cha Uzini, mbaroni.

Mtuhumiwa wa ukataji Mikarafuu kijiji cha Uzini, mbaroni.

Wananchi wa Kijiji cha Uzini na majirani wametakiwa kujitokeza kutoa ushahidi dhidi ya mtuhumiwa ambaye ametajwa kuwa tishio baada ya kutiwa mikononi mwa Polisi kufuatia kukata zaidi ya miti ya mikarafuu 200 mali za wakulima.…

Read More
Mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6 katika Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya.

Mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6 katika Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya.

Mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6 katika Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya, umekataliwa kuwekwa jiwe la Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa baada ya taarifa za mradi…

Read More
Follow On Instagram