1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Agizo la kufunguliwa Shule na Vyuo laendelea.

Agizo la kufunguliwa Shule na Vyuo laendelea.

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu litaendelea kubaki vile vile hadi hapo Serikali itakapotoa…

Read More
Upuliziaji dawa kwenye mabasi dhidi ya corona Simiyu.

Upuliziaji dawa kwenye mabasi dhidi ya corona Simiyu.

Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu, kwa kushirikiana na Wataalamu wa Afya wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, wameendesha zoezi la upuliziaji dawa katika mabasi na magari madogo ya abiria ambayo yanafanya safari zake, ndani ya nje…

Read More
DC Chemba aagiza daraja la Simba kufungwa.

DC Chemba aagiza daraja la Simba kufungwa.

Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, amelifunga Daraja la Kelema Maziwani lililopo Kijiji cha Simba Kata ya Dalai wilayani Chemba mkoani Dodoma, kutokana na baadhi ya watu kupitisha magari makubwa ya mizigo kwenye daraja…

Read More
PSSSF yawatahadharisha wanachama wake kuhusu matapeli.

PSSSF yawatahadharisha wanachama wake kuhusu matapeli.

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umewatahadharisha wanachama wake wakiwemo wastaafu na wategemezi, dhidi ya watu wanaowapigia simu na kudai fedha ili kuwasaidia kupata huduma mbalimbali za mfuko huo kuwa ni…

Read More
Ukaguzi wa masoko ya Morogoro dhidi ya Corona.

Ukaguzi wa masoko ya Morogoro dhidi ya Corona.

Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Morogoro imeweka mikakati na taratibu katika masoko kwa kuanzisha ulinzi wa askari wa jeshi la akiba kila mahali, lengo likiwa kuhakikisha wananchi wanafuata maagizo ya kunawa mikoni ili kujilinda…

Read More
Nyumba zazingirwa na maji Dsm.

Nyumba zazingirwa na maji Dsm.

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dsm zimeendelea kuleta Madhara mbalimbali ikiwemo baadhi ya nyumba kuzingirwa na Maji na kusababisha wananchi waliokuwa wakiishi katika nyumba hizo kuzikimbia. Miongoni Mwa maeneo ambayo yamekumbwa na Mafuriko na wananchi kuzikimbia…

Read More
Tahadhari ya Corona kwenye vituo vya Yatima.

Tahadhari ya Corona kwenye vituo vya Yatima.

Jamii mkoani Ruvuma imendelea kuchukua hatua mbalimbali ya kujinga dhidi ya kuenea kwa homa kali ya mapafu Covid 19 inayosabaabishwa na kirusi cha Corona katika kutoa elimu ,kusambaza vitakasa mikono na mahitaji muhimu kwenye vituo…

Read More
Wafanyabiashara ya Kuku Iringa wahofia Corona.

Wafanyabiashara ya Kuku Iringa wahofia Corona.

Wafanyabiashara wa kuku katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamesema wana wasiwasi biashara yao itayumba kwa sehemu kubwa kufuatia kuwepo kwa hofu ya maambukizi ya virusi vya Corona katika jamii vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 kwa…

Read More
Wagonjwa wapya 14 wa Corona wathibitishwa Nchini.

Wagonjwa wapya 14 wa Corona wathibitishwa Nchini.

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imethibitisha kuwapo kwa wagonjwa wapya 14 wenye maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha homa kali ya mapafu COVID -19 nchini, na kufanya idadi ya wagonjwa…

Read More
Corona wananchi kupelekewa bidhaa nyumbani.

Corona wananchi kupelekewa bidhaa nyumbani.

Wadau wameendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kupunguza mikusanyiko isiyo kuwa ya lazima ili kukabiliana na tatizo la kusambaa kwa virusi vya Corona baada ya kufikiria kuanzisha utaratibu wa kusambaza mahitaji muhimu nyumbani na…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!