1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Madhara ya Kuzagaa kwa bidhaa Bandia

Madhara ya Kuzagaa kwa bidhaa Bandia

Kuzagaa kwa bidhaa bandia kunawaondoa sokoni wazalishaji halisi wa bidhaa husika, jambo ambalo hudumaza maendeleo ya viwanda na hivyo kuhatarisha uwekezaji mpya katika sekta hiyo. Mkurugenzi wa Kupambana na Bidhaa Bandia wa Tume ya Ushindani…

Read More
Waziri Jafo awataka Viongozi kutekeleza Majukumu yao.

Waziri Jafo awataka Viongozi kutekeleza Majukumu yao.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) SELEMANI JAFO amewataka viongozi kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi bila kutegemea kusimamiwa na Uongozi wa juu. Waziri Jafo ametoa kauli hiyo…

Read More
Wakazi wajitolea kujenga Vyoo vya Shule.

Wakazi wajitolea kujenga Vyoo vya Shule.

Wakazi wa kijiji cha Mbambakofi kilichopo halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara wamejitolea kujenga choo cha wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi Mbambakofi baada ya shule hiyo kukabiliwa na upungufu mkubwa wa matundu…

Read More
Mafanikio ya CCBRT kwa kipindi cha miaka 25 katika utoaji wa Huduma.

Mafanikio ya CCBRT kwa kipindi cha miaka 25 katika utoaji wa Huduma.

Taasisi ya Hospitali ya CCBRT imesema kuwa kwa miaka 25 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994 imetoa huduma kwa kiwango kikubwa na kilicho bora ikiwemo utoaji elimu kwa jamii, kupambana na ugonjwa wa mtoto wa jicho,…

Read More
Mkoa wa Iringa upo katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika kiuchumi kutokana na utalii wa Nyuki

Mkoa wa Iringa upo katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika kiuchumi kutokana na utalii wa Nyuki

MKOA wa Iringa upo katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika kiuchumi kutokana na utalii wa nyuki kwa sababu mkoa huo una maeneo ya kutosha na yanayofaa kwa ufugaji wa nyuki huku changamoto kubwa kufikia mafanikio…

Read More
Waathirika wa Dawa za Kulevya, Mbeya.

Waathirika wa Dawa za Kulevya, Mbeya.

WAATHIRIKA wa Madawa za kulevya Mkoani Mbeya wameipongeza Wizara ya Afya kupitia Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, kwa kuwa na kituo kinachotoa dawa ya Methadone, ambayo imewasaidia kuachana na matumizi ya dawa za kulevya,…

Read More
Wanaouza Petroli na Dizeli kwenye Makazi yao wakamatwa.

Wanaouza Petroli na Dizeli kwenye Makazi yao wakamatwa.

Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 45 kwa kosa la kufanya biashara hatarishi ya mafuta aina ya Petroli na Dizeli kwenye makazi yao bila ya leseni kinyume cha sheria. Aidha Jeshi hilo limefanikiwa kukamata…

Read More
Viongozi wa CCM Momba wapewa mikakati.

Viongozi wa CCM Momba wapewa mikakati.

Ikiwa imebaki miezi miwili kabla ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi (CCM) imewakutanisha viongozi wa mashina katika jimbo la Tunduma na kuwapa maelekezo juu ya utendaji kazi ikiwemo…

Read More
DAWASA yatoa tahadhari kwa Wananchi.

DAWASA yatoa tahadhari kwa Wananchi.

Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) imetoa tahadhari kwa baadhi ya wakazi wa mkoa huo kuacha mara moja tabia ya kujiunganishia huduma ya maji bila kufuata taratibu za Mamlaka…

Read More
Mgombea Kais Saied aongoza Urais Tunisia.

Mgombea Kais Saied aongoza Urais Tunisia.

Tume ya kusimamia Uchaguzi nchini Tumisia imesema Zaidi ya nusu ya kura zilizohesabiwa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais, zinaonesha Mgombea wa Urais Kais Saied profesa wa sheria mwenye umri wa miaka 61 anaongoza katika matokeo…

Read More
Follow On Instagram