1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Spika Ndugai aongoza mazishi ya Mbunge wa Newala.

Spika Ndugai aongoza mazishi ya Mbunge wa Newala.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amewaongoza Wabunge, Viongozi wa Serikali, Vyama vya Siasa na wakazi wa mkoa wa Mtwara kumzika aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Newala vijijini Ajali…

Read More
Wanaume zaidi ya 600 waripotiwa kupigwa na wenza wao.

Wanaume zaidi ya 600 waripotiwa kupigwa na wenza wao.

Jumla ya wanaume 699 wameripotiwa kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwa ni pamoja na kujeruhiwa kimwili mkoani Iringa katika kipindi cha mwaka 2018/19 sawa na asilimia 25.4 huku mengi ya matukio kama hayo yakifanyika…

Read More
Mabenki yanayotoa mikopo ya nyumba yapongezwa.

Mabenki yanayotoa mikopo ya nyumba yapongezwa.

Serikali imesema hatua ya Taasisi za fedha kuanza kutoa mikopo ya muda mrefu ya ujenzi wa nyumba utawawezesha watanzania wengi kupata uwezo wa kujenga nyumba bora, pamoja na kutumia nyumba hizo kujiinua kiuchumi. Waziri wa…

Read More
Mkazi wa Kibondo ataka kujiua baada ya kumuua mkewe.

Mkazi wa Kibondo ataka kujiua baada ya kumuua mkewe.

Mkazi mmoja anayeishi wilaya Kibondo Mkoani Kigoma Albert Rugai miaka 65 amejaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya kumuua mke wake Ester Kondo miaka 45 kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi pamoja na kugombania…

Read More
Wadau wajadili changamoto za usafirishaji majini.

Wadau wajadili changamoto za usafirishaji majini.

Wadau wa usafirishaji Duniani kwa njia ya bahari na majini wamekutana jijini dar es salaam kujadili changamoto za usafirishaji na kuzitafutia ufumbuzi, Tanzania ikibahatika kuwa mwenyeji wa mkutano huo kwa mara ya pili katika mzunguko…

Read More
Tanzania na Sweden zasaini makubaliano ya msaada.

Tanzania na Sweden zasaini makubaliano ya msaada.

Serikali ya Tanzania imetiliana saini mikataba miwili ya msaada na serikali ya Sweden kwa kupatiwa fedha kiasi cha dola milioni 90 sawa na shilingi Bilioni 240.95 kutoka mfuko wa ushirikiano wa Elimu Duniani GPE. Akizungumzia…

Read More
TRA wahimizwa kuongeza bidii ya kukusanya mapato.

TRA wahimizwa kuongeza bidii ya kukusanya mapato.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, amewahimiza watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kufanya kazi kwa bidii, weledi, na kwa kuzingata misingi wa Sheria za kodi ili kuhakikisha…

Read More
Wauza matunda Kariakoo wakiuka kanuni za Afya.

Wauza matunda Kariakoo wakiuka kanuni za Afya.

Kaimu Afisa Afya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam amewataka wafanyabiashara wa vyakula na Matunda yaliyomenywa na kuuzwa katika maeneo mbali mbali ya Kariakoo kuzingatia Kanuni za Afya na Usafi wa mazingira katika…

Read More
Benki ya Dunia yaahidi kusaidia miradi ya maendeleo.

Benki ya Dunia yaahidi kusaidia miradi ya maendeleo.

Benki ya dunia imeahidi kuendelea kusaidia miradi ya maendeleo nchini ikiwemo maendeleo ya miundombinu, lakini zaidi kusaidia maendeleo ya shughuli za kijamii hususani afya na elimu. Aidha kutokana maendeleo pamoja na ufanisi unaoonekana wa miradi…

Read More
Serikali ya Ilala yaridhishwa na Ujenzi wa miradi.

Serikali ya Ilala yaridhishwa na Ujenzi wa miradi.

Serikali ya Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam imeelezea kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Soko la Kisutu, ambalo linatarajia kukamilika August mwaka huu. Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema ambaye amefanya ziara…

Read More
Follow On Instagram