1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Makonda ahimiza uwajibikaji, awaonya wanaorandaranda.

Makonda ahimiza uwajibikaji, awaonya wanaorandaranda.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameendelea kuwasisitizia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kufanya kazi, lakini wakiwa na tahadhari kubwa na mlipuko wa virusi vya Corona vinavyoendelea kuitesa dunia. Bw.…

Read More
Uhamiaji Mara wakamata mhamiaji wa Burundi.

Uhamiaji Mara wakamata mhamiaji wa Burundi.

Siku moja baada ya Naibu waziri ofisi ya Rais Tamisemi Mh.Mwita Waitara kudhibiti mipaka ya nchi, Kikosi maalum cha kudhibiti Wimbi la wahamiaji haramu idara ya Uhamiaji mkoa wa Mara kimefanikiwa kumkamata mama mmoja Raia…

Read More
Kujikinga na corona soko la Mbagala Kizuiani.

Kujikinga na corona soko la Mbagala Kizuiani.

Mbunge wa Mbagala jijini Dsm Issa Mangungu akishirikiana na wadau mbalimbali wametoa vitakasa mikono katika soko la Mbagala kizuiani ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Serikali katika kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Corona.…

Read More
Tembo aua mwanafunzi wa darasa la nne.

Tembo aua mwanafunzi wa darasa la nne.

Mwanafunzi wa darasa la nne amepoteza maisha huku mwenzake wa darasa la kwanza shule ya msingi Guta akijeruhiwa vibaya baada ya kukanyagwa na tembo wakati wakivuka Hifadhi ya Taifa Serengeti hali iliyosababisha hofu kubwa kwa…

Read More
Wasafiri kutoka nje kuwekwa karantini hosteli za Udsm.

Wasafiri kutoka nje kuwekwa karantini hosteli za Udsm.

Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maarufu hosteli za…

Read More
Wapiga debe stendi wapigwa marufuku kuepuka corona.

Wapiga debe stendi wapigwa marufuku kuepuka corona.

Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma kamishna msaidizi Simoni Maigwa amepiga marufuku wapiga debe kwenye vituo vya mabasi vilivyopo mkoani humo kwa kile kinachotajwa ni sababu mojawapo inayoweza kupelekea kuenea kwa homa kali ya mapafu…

Read More
Baadhi ya wakazi Dsm watoa maoni kuhusu eneo la Jangwani.

Baadhi ya wakazi Dsm watoa maoni kuhusu eneo la Jangwani.

Kufuatia adha ya kufurika kwa maji katika Bonde la Jangwani jijini Dar es Salaam mara kwa mara pindi mvua zinaponyesha na kusababisha vyombo vya usafiri kushindwa kupita eneo la Jangwani kwenye barabara ya Kuu ya…

Read More
Mbaroni kwa kutoa taarifa potofu kuhusu corona.

Mbaroni kwa kutoa taarifa potofu kuhusu corona.

Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam linamshikilia Paulina Sospeter Mkazi wa Kijiji cha Kakolo Mkoani Geita kwa tuhuma za kusambaza taarifa za Uzushi zenye kujenga Hofu kwa wananchi wa…

Read More
NIDA yawahamisha wafanyakazi 25 kuongeza ufanisi.

NIDA yawahamisha wafanyakazi 25 kuongeza ufanisi.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini NIDA imesema imetekeleza maagizo ya serikali yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, ambae aliwapa siku tatu kuwaondoa katika utumishi wa umma watumishi ishirini…

Read More
Prof. Mkumbo asisitiza upatikanaji wa huduma za maji.

Prof. Mkumbo asisitiza upatikanaji wa huduma za maji.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo amewataka watendaji wa sekta ya Maji kutambua umuhimu wa upatikanaji wa Maji kwenye maeneo yote mijini na Vijijini hususani katika Kipindi hiki ambacho nchi inafanya juhudi…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!