1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Taadhari  ya ugonjwa wa Dengu Mkoani Ruvuma.

Taadhari ya ugonjwa wa Dengu Mkoani Ruvuma.

Baada ya wagonjwa wawili kubainika wameugua ugonjwa wa DENGU katika wilaya ya TUNDURU mkoani RUVUMA, Halmashauri ya Manispaa ya SONGEA mkoani humo imeanza kuchukua hatua madhubuti ya kudhibiti ugonjwa huo kwa kupulizia dawa kwenye mitaa…

Read More
Zanzibar na Comoro zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoria

Zanzibar na Comoro zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoria

ZANZIBAR na Comoro zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoria uliopo ambao una lengo la kuzidisha mashirikiano katika sekta za maendeleo kwa manufaa ya pande mbili hizo. Ahadi hiyo imetolewa leo katika mazungumzo…

Read More
Madhara ya Kuzagaa kwa bidhaa Bandia

Madhara ya Kuzagaa kwa bidhaa Bandia

Kuzagaa kwa bidhaa bandia kunawaondoa sokoni wazalishaji halisi wa bidhaa husika, jambo ambalo hudumaza maendeleo ya viwanda na hivyo kuhatarisha uwekezaji mpya katika sekta hiyo. Mkurugenzi wa Kupambana na Bidhaa Bandia wa Tume ya Ushindani…

Read More
Waziri Jafo awataka Viongozi kutekeleza Majukumu yao.

Waziri Jafo awataka Viongozi kutekeleza Majukumu yao.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) SELEMANI JAFO amewataka viongozi kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi bila kutegemea kusimamiwa na Uongozi wa juu. Waziri Jafo ametoa kauli hiyo…

Read More
Wakazi wajitolea kujenga Vyoo vya Shule.

Wakazi wajitolea kujenga Vyoo vya Shule.

Wakazi wa kijiji cha Mbambakofi kilichopo halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara wamejitolea kujenga choo cha wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi Mbambakofi baada ya shule hiyo kukabiliwa na upungufu mkubwa wa matundu…

Read More
Mafanikio ya CCBRT kwa kipindi cha miaka 25 katika utoaji wa Huduma.

Mafanikio ya CCBRT kwa kipindi cha miaka 25 katika utoaji wa Huduma.

Taasisi ya Hospitali ya CCBRT imesema kuwa kwa miaka 25 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994 imetoa huduma kwa kiwango kikubwa na kilicho bora ikiwemo utoaji elimu kwa jamii, kupambana na ugonjwa wa mtoto wa jicho,…

Read More
Mkoa wa Iringa upo katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika kiuchumi kutokana na utalii wa Nyuki

Mkoa wa Iringa upo katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika kiuchumi kutokana na utalii wa Nyuki

MKOA wa Iringa upo katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika kiuchumi kutokana na utalii wa nyuki kwa sababu mkoa huo una maeneo ya kutosha na yanayofaa kwa ufugaji wa nyuki huku changamoto kubwa kufikia mafanikio…

Read More
Waathirika wa Dawa za Kulevya, Mbeya.

Waathirika wa Dawa za Kulevya, Mbeya.

WAATHIRIKA wa Madawa za kulevya Mkoani Mbeya wameipongeza Wizara ya Afya kupitia Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, kwa kuwa na kituo kinachotoa dawa ya Methadone, ambayo imewasaidia kuachana na matumizi ya dawa za kulevya,…

Read More
Wanaouza Petroli na Dizeli kwenye Makazi yao wakamatwa.

Wanaouza Petroli na Dizeli kwenye Makazi yao wakamatwa.

Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 45 kwa kosa la kufanya biashara hatarishi ya mafuta aina ya Petroli na Dizeli kwenye makazi yao bila ya leseni kinyume cha sheria. Aidha Jeshi hilo limefanikiwa kukamata…

Read More
Viongozi wa CCM Momba wapewa mikakati.

Viongozi wa CCM Momba wapewa mikakati.

Ikiwa imebaki miezi miwili kabla ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi (CCM) imewakutanisha viongozi wa mashina katika jimbo la Tunduma na kuwapa maelekezo juu ya utendaji kazi ikiwemo…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!