1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Ujumbe wa Utafiti Elimu.

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Ujumbe wa Utafiti Elimu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko tayari kushirkiana na Serikali ya Ras Al Khaimah katika kuanzisha programu ya mafunzo kwa…

Read More
Wananchi wa Isongole (W) Rungwe wapokea ahadi ya Rais ya Tshs. Mil. 30.

Wananchi wa Isongole (W) Rungwe wapokea ahadi ya Rais ya Tshs. Mil. 30.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, leo amekabidhi shilingi milioni 30 kwa Wananchi wa Kata ya Isongole Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya kufuatia ahadi yake kuwachangia ili…

Read More
Waziri Mkuu asisitiza uadilifu na uaminifu wa Watumishi.

Waziri Mkuu asisitiza uadilifu na uaminifu wa Watumishi.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli inahitaji watumishi waadilifu wenye uwezo wa kufanyakazi kwa uaminifu na…

Read More
Misaada yatolewa kwa Wahanga wa Kojani.

Misaada yatolewa kwa Wahanga wa Kojani.

Kamisheni ya Maafa Pemba kwa kushiriiana na Uongozi wa Baraza la Mji Wete, wametoa msaada wa magodoro, vyombo pamoja na vyakula kwa familia saba ambao zimekosa mahali pa kuishi katika kisiwa cha Kojani , baada…

Read More
Wakazi wa Mkoa wa DSM wametakiwa kujitokeza katika zoezi la uandikishaji

Wakazi wa Mkoa wa DSM wametakiwa kujitokeza katika zoezi la uandikishaji

Wakazi wa Mkoa wa Dsm wametakiwa kujitokeza katika zoezi la uandikishaji linalotarajiwa kuanza October 8 Mwaka huu kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa kuchagua wenyeviti na wajumbe wa Mitaa huku akiwaasa kuchagua viongozi…

Read More
TCU yafungua dirisha la Usajili awamu ya Nne.

TCU yafungua dirisha la Usajili awamu ya Nne.

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 01 hadi 04 Oktoba kwa waombaji wa nafasi za kujiunga na elimu ya juu katika vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini baada ya kupokea…

Read More
Wafanyabishara Coco Beach Wamshukuru Rais.

Wafanyabishara Coco Beach Wamshukuru Rais.

Mmiliki wa majengo yaliyopo ufukwe wa Coco Beach Jijini Dar es Salaam Alphonce Buhatwa amekanusha taarifa alizosema kuwa zimesambaa mitandaoni zikidai kwamba alichoma moto jengo lake katika ufukwe huo kwa makusudi ili aweze kulipwa na…

Read More
Ziara ya Waziri Mkuu Mkoani Iringa.

Ziara ya Waziri Mkuu Mkoani Iringa.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili wawekezaji wadogo na wakubwa nchini ikiwemo kupunguza utitiri wa baadhi ya kadi ambazo mara kadhaa zimetajwa kuwakatisha…

Read More
Serikali imesisitiza kuwa inalitambua vyema tatizo la uhaba wa Ajira kwa vijana hapa nchini

Serikali imesisitiza kuwa inalitambua vyema tatizo la uhaba wa Ajira kwa vijana hapa nchini

Serikali imesisitiza kuwa inalitambua vyema tatizo la uhaba wa ajira kwa vijana hapa nchini, na ndiyo maana ipo tayari kuendelea kushirikiana na wadau wanaoonyesha nia ya kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo. Kauli hiyo ya serikali…

Read More
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa wito kwa Taasisi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa wito kwa Taasisi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa wito kwa taasisi binafsi, za umma na hata watu binafsi kushirikiana na taasisi hiyo ili kupata takwimu zilizo bora na sahihi, zitakazoweza kutumiwa katika maendeleo yao na jamii…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!