Yusuf Manji leo amewasili katika kituo cha Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam akiongozana na mlinzi wake pamoja na baadhi ya mashabiki wa Yanga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji leo amewasili katika kituo cha Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam akiongozana na mlinzi wake pamoja na baadhi ya mashabiki wa klabu ya Yanga kama alivyo haidi jana kuwa angefika leo badala ya siku ya Ijumaa kama alivyohitajika. Baadhi ya mashabiki hao waliongozana naye hadi katika lango la kuingilia[…]

Vinara wa Ligi Kuu Simba na Azam FC hakuna kulala leo Uwanja wa Taifa

Vinara wa Ligi Kuu ya Tanzania bara Simba watakuwa wenyeji dhidi ya Azam FC katika mwendelezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania ,mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Wawakilishi wa vilabu hivyo ambao ndio wasemaji Jaffary Idd Maganga na Hajji Manara kila mmoja ametamba kuibuka na ushindi katika mchezo huo unatarajiwa kuwa[…]