1. Home
  2. Local News

Category: Sports & Entertainment

Jkt kuanza na wenyeji leo, Klabu Bingwa kikapu Afrika – Rwanda.

Jkt kuanza na wenyeji leo, Klabu Bingwa kikapu Afrika – Rwanda.

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Afrika ya Mchezo wa Mpira wa Kikapu Jkt, leo watashuka dimbani kucheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya raundi ya pili ya kufuzu dhidi ya…

Read More
CECAFA: Zanzibar Heroes yalala 1-0 dhidi ya Kili Stars.

CECAFA: Zanzibar Heroes yalala 1-0 dhidi ya Kili Stars.

Tanzania Bara imefufua matumaini ya kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Zanzibar katika Uwanja wa Lugogo mjini Kampala,…

Read More
Bodi ya filamu yatoa rai kwa wamiliki vya vyombo vya usafiri.

Bodi ya filamu yatoa rai kwa wamiliki vya vyombo vya usafiri.

Bodi ya filamu Imewakumbusha wamiliki wa Vyombo vya Usafiri na Wasimamizi hasa magari ya abiria kuacha tabia ya kuonyesha filamu au picha jongevu ambazo hazina maadili kwa Watanzania. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar…

Read More
Kuelekea mechi ya soka ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC.

Kuelekea mechi ya soka ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC.

Kuelekea mechi ya soka ya Kirafiki kati ya timu ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC inayoundwa na wafanyakazi wa Channel Ten na Magic FM itakayopigwa kesho katika uwanja wa michezo wa…

Read More
Lionel Messi afunguliwa kifungo chake.

Lionel Messi afunguliwa kifungo chake.

Nahodha wa timu ya Taifa ya soka ya Argentina Lionel Messi amemaliza adhabu ya miezi mitatu ya kutochezea timu hiyo aliyopewa na chama cha soka cha Amerika Kusini baada ya kudaiwa kukashifu mashindano yanayoandaliwa na…

Read More
Sarfaraz avuliwa unahodha wa Timu ya Taifa.

Sarfaraz avuliwa unahodha wa Timu ya Taifa.

Sarfaraz Ahmed amevuliwa unahodha wa timu ya taifa ya Pakistan ya mchezo wa Kriketi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kukosa ushawishi na kiwango chake kushuka, na nafasi yake sasa inachukuliwa na Nahodha msaidizi Azhar Ali.…

Read More
Klabu kubwa ya Mpira wa Miguu ya AS Roma ya Italia kutumia Kiswahili.

Klabu kubwa ya Mpira wa Miguu ya AS Roma ya Italia kutumia Kiswahili.

Klabu kubwa ya Mpira wa Miguu ya AS Roma ya nchini Italia, imezindua akaunti mpya katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwa lugha ya Kiswahili Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Klabu hiyo, -Paul Rogers…

Read More
Maombi ya kubadilisha Uwanja wa mechi ya El Clasico (Barcelona na Real Madrid).

Maombi ya kubadilisha Uwanja wa mechi ya El Clasico (Barcelona na Real Madrid).

Idara ya Usimamizi wa ligi kuu ya soka ya nchini Hispania La Liga imeomba mechi watani wa kihistoria kwenye ligi hiyo (El Clasico) inayotarajiwa kupigwa mnamo Oktoba 26 ibadilishiwe uwanja kutoka uwanja wa Barcelona wa…

Read More
Bondia afariki akitibiwa baada ya kuumia kwenye pambano.

Bondia afariki akitibiwa baada ya kuumia kwenye pambano.

Bondia wa Marekani Patrick Day amefariki baada ya kulazwa siku nne hospitali kwa ajili ya matibabu ya matatizo ya ubongo aliyoyapata katika pambano lake la dhidi ya Charles Conwell jumamosi iliyopita. Baada ya kuanguka na…

Read More
Kenya yavunja rekodi iliyowekwa miaka 16 iliyopita.

Kenya yavunja rekodi iliyowekwa miaka 16 iliyopita.

Mwanadada Brigid Kosgei wa Kenya amevunja rekodi ya mbio za Marathon Wanawake iliyodumu kwa miaka 16 kwa kukimbia muda mfupi zaidi kwenye umbali wa kilomita 42. Brigid alitumia Saa 2 Dakika 14 na Sekunde 4,…

Read More
Follow On Instagram