1. Home
  2. Local News

Category: Sports & Entertainment

Mwakinyo kwenda Ujerumani kesho kumkabili Culcay.

Mwakinyo kwenda Ujerumani kesho kumkabili Culcay.

Bondia Hamis Mwakinyo anaondoka Nchini kwenda nchini Ujerumani ambapo tarehe 21 mwezi huu anatarajiwa kupanda ulingoni kumkabili bondia Jack Culcay kwa ajili ya kuwania mkanda wa WBO, pambano litakalochezwa nchini Ujerumani. Mwakinyo ametamba kuwa amejiandaa…

Read More
Virusi vya Corona vyazidi kuindama michezo.

Virusi vya Corona vyazidi kuindama michezo.

Timu ya soka ya Juventus ya nchini Italia imethibitisha kuwa mchezaji wake Daniele Rugani amepata maambukizi ya virusi vya Corona licha ya tahadhari zinazoendelea kuchukuliwa na mamlaka za michezo na serikali kwa ujumla. Kufuatia kisa…

Read More
Rai ya serikali kwa mashabiki kuelekea mechi ya watani wa jadi.

Rai ya serikali kwa mashabiki kuelekea mechi ya watani wa jadi.

Kuelekea Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe amewataka watanzania kujitokeza, waingie uwanjani bila kuchelewa, lakini zaidi akisisitiza umuhimu wa kuzingatia agizo la tahadhari…

Read More
Yanga yaufanya msimamo wa Ligi kuwa Mgumu.

Yanga yaufanya msimamo wa Ligi kuwa Mgumu.

Klabu ya soka ya YANGA imefanikiwa kufikisha pointi 34 baada ya kucheza mechi 17, na kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu, baada ya ushindi wa magoli 2-1 ilipocheza dhidi ya Lipuli…

Read More
Jkt kuanza na wenyeji leo, Klabu Bingwa kikapu Afrika – Rwanda.

Jkt kuanza na wenyeji leo, Klabu Bingwa kikapu Afrika – Rwanda.

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Afrika ya Mchezo wa Mpira wa Kikapu Jkt, leo watashuka dimbani kucheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya raundi ya pili ya kufuzu dhidi ya…

Read More
CECAFA: Zanzibar Heroes yalala 1-0 dhidi ya Kili Stars.

CECAFA: Zanzibar Heroes yalala 1-0 dhidi ya Kili Stars.

Tanzania Bara imefufua matumaini ya kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Zanzibar katika Uwanja wa Lugogo mjini Kampala,…

Read More
Bodi ya filamu yatoa rai kwa wamiliki vya vyombo vya usafiri.

Bodi ya filamu yatoa rai kwa wamiliki vya vyombo vya usafiri.

Bodi ya filamu Imewakumbusha wamiliki wa Vyombo vya Usafiri na Wasimamizi hasa magari ya abiria kuacha tabia ya kuonyesha filamu au picha jongevu ambazo hazina maadili kwa Watanzania. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar…

Read More
Kuelekea mechi ya soka ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC.

Kuelekea mechi ya soka ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC.

Kuelekea mechi ya soka ya Kirafiki kati ya timu ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC inayoundwa na wafanyakazi wa Channel Ten na Magic FM itakayopigwa kesho katika uwanja wa michezo wa…

Read More
Lionel Messi afunguliwa kifungo chake.

Lionel Messi afunguliwa kifungo chake.

Nahodha wa timu ya Taifa ya soka ya Argentina Lionel Messi amemaliza adhabu ya miezi mitatu ya kutochezea timu hiyo aliyopewa na chama cha soka cha Amerika Kusini baada ya kudaiwa kukashifu mashindano yanayoandaliwa na…

Read More
Sarfaraz avuliwa unahodha wa Timu ya Taifa.

Sarfaraz avuliwa unahodha wa Timu ya Taifa.

Sarfaraz Ahmed amevuliwa unahodha wa timu ya taifa ya Pakistan ya mchezo wa Kriketi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kukosa ushawishi na kiwango chake kushuka, na nafasi yake sasa inachukuliwa na Nahodha msaidizi Azhar Ali.…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!