HALOTEL

Tehama Shuleni, Halotel kuboresha Mradi wa Internet For School

Kampuni ya simu za mkononi ya HALOTEL,imesema itaboresha zaidi progamu yake ya Halotel Internet For School, ambayo tayari imeshazifikia jumla ya shule 450 za sekondari nchini. Meneja Mawasiliano wa HALOTEL, Hindu rashid amesema mradi huo ulioanza mwaka 2015, Halotel ilipoanza shughuli zake nchini,unalenga kuunga mkono jitihada za serikali za kuhakikisha Tehama inatumika kutoa elimu nchini[…]

4Wanafunzi wa sekondari ya Mpunyule wilayani Kilwa wakijifunza somo la TEHAMA. (7) (1)

Matumizi ya Tehama shule za msingi, Wizara ya Elimu yazindua mredi wa PROFUTURO

Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na mafunzo ya Ufundi, leo imezindua mradi wa majaribio wa elimu kwa njia ya Dijitali katika shule za msingi za mikoa ya Pwani,Dar Es Salaam,Shinyanga,Morogoro,Dodoma,Iringa na Mafinga. Naibu waziri wa wizara hiyo Mhandisi STELLA MANYANYA,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vishikwambi yaani tablets kwa shule kumi na moja za mkoa wa[…]

trumptwitter_600x400

Trump na Ukurasa wake wa Twitter Amshutumu Obama kwa udukuzi

Rais wa Marekani Donald Trump amemshutumu mtangulizi wake Barack Obama kwa madai udukuzi wa simu katika ofisi yake iliyoko New York wakati kampeni za urais, madai ambayo hata hiyo yamekanushwa na rais huyo mstaafu Obama. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Trump amesema kuwa amegundua kuwa Obama alitega simu za ofisi yake iliyoko katika jengo[…]

rada

Serikali kununua Rada nne kuwezesha kuona aina yoyote ya ndege inayoingia ama kupita katika anga la Tanzania

Serikali imesema itanunua rada nne ambazo zitawekwa sehemu mbali mbali za Tanzania ili kuwezesha kuona aina yoyote ya ndege inayoingia ama kupita katika anga la Tanzania ili kuhakikisha nchi ya Tanzania inakuwa salama mda wote. Akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mtwara waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Professor Makae Mbalawa ambae ametembelea uwanja wa[…]

TTCL yaibuka na kasi Mpya ya 4G LTE Morogoro

Serikali imedhamiria kuwachukulia hatua kali watu wataohusika katika uharibifu na kuhujumu miundo mbinu ya kampuni ya simu Tanzania TTCL mtandao ambao licha ya kutegemewa na wananchi kwa asilimia kubwa bado ni chachu ya maendeleo na katika kuchangia pato la taifa. Akiongea katika uzinduzi wa huduma za 4G LTE ya kampuni ya simu Tanzania mkoani Morogoro[…]

fNOgeJUN_400x400

Wino bandia wa Komputa uliokamatwa DAR Wadau wa Maduka ya Vifaa vya Ofisi watoa maoni

Siku moja bada ya Tume ya ushindani, FCC,kukamata shehena ya kontena kumi za wino bandia unaotumika kwenye kompyuta Tona,zenye thamani ya shilingi bilioni nane hadi tisa,zinazoingizwa nchini na wafanyabiashara wasio waminifu wa China,baadhi ya wafanyakazi katika maduka ya vifaa vya ofisi ,jijini Dar es Salaam,wamezungumzia kadhia hiyo iliyopatikana mtaa wa Senegal,Upanga,jijini humo.   Tume ya[…]

DSC05731-1024x768

Baadhi ya wakazi Mwanza wameiomba Serikali kufanya marekebisho kwa kupunguza gharama zinazotozwa na Kampuni ya simu

Baadhi ya wakazi mkoani Mwanza, wameiomba Serikali kufanya marekebisho kwa kupunguza gharama zinazotozwa na Kampuni ya mitandao ya simu nchini, ili kuwawezesha Wananchi wengi kumudu gharama hizo pamoja na kunufaika na mawasiliano hayo kijamii na kiuchumi. Viwango vya gharama vinazotozwa na mitandao ya simu nchini, vinatajwa na Wananchi kuwa ni aghari, ambapo licha ya kuiomba[…]

Cell Towers on Prospect Mountain

Huduma za mawasiliano vijijini Wasiofika maeneo waliyoomba leseni kunyang’anywa

Serikali imetishia kuzinyang’anya leseni za masafa kampuni za huduma za mawasiliano nchini zilizopewa ruzuku ya kutekeleza miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano vijijini lakini yameshindwa kukamilisha miradi hiyo. Serikali kupitia mfuko wa Mawasiliano kwa wote, imekuwa ikitoa ruzuku ya fedha za ujenzi wa minara ya mawasiliano kwenye kata 443 zilizopo maeneo ya vijijini ili kufikisha[…]