Fahamu Ushirikiano kati ya China na Afrika

Fahamu ushirikiano kati ya China na Afrika. Katika miaka ya 1980s China ilijiunga na Benki ya maendeleo ya Afrika na kuunga mkono kupunguza umaskini Afrika. Mwaka 2016 China ilitunisha mfuko wa maendeleo wa China na Afrika hadi dola bilioni 10

Comments

comments