International News
Mkataba wa kupiga marufuku silaha za nyuklia.

Mkataba wa kupiga marufuku silaha za nyuklia.

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia na kuchochea kutekelezwa kwake katika muda wa siku 90. Hatua hiyo imesifiwa na wanaharakati wa kupambana…

Africa News
Shirika la Madini la Twiga laonyesha uwezo mkubwa.

Shirika la Madini la Twiga laonyesha uwezo mkubwa.

Kampuni ya Madini ya Barrick imesema Shirika la Madini la Twiga limeonyesha uwezo mkubwa wa kutengeneza thamani ya ushirika ikiwa ni mwaka mmoja pekee tangu kuanzishwa kwake. Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick Bwana…

Most Popular

Technology

Local News

Barabara Jimbo la Ukonga Ilala Zakarabatiwa.

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini dsm imeanza kuziboresha barabara zilizoharibika vibaya kutokana na mvua na kusababisha kupitika kwa shida katika mitaa mbali mbali ya Jimbo la ukonga. Akizungumza na Waandishi wa habari Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala Omar Kumbilamoto amesema Ukarabati huo ambao ulisimama kwa zaidi ya wiki mbili kutokana na kuharibika kwa...

Local News

Prof. Kahimba Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Kahimba umeanza tarehe 31 Agosti, 2019. Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kahimba...

Trending

Follow On Instagram
error: Content is protected !!