Mvua yapandisha bei ya Nyanya na Vitunguu Pwani.

Imebainika kuwa kupanda kwa bei ya nyanya na vitunguu katika masoko mbalimbali hapa nchini kumetokana na Mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni ambazo zimesababisha mashamba yaliyolimwa mazao hayo kusombwa na maji, hali iliyochangia bidhaa hiyo kuendelea kuwa adimu masokoni.

Wakizungumza wafanyabiashara wa soko la Loliondo waliopo katika halmashauri ya kibaha mkoani Pwani wamesema kuwa upandaji wa bei wa zao la nyanya na vitunguu umetokana na mvua ambazo zinayesha katika mikoa mbalimbali ambayio imalima zao hilo na kusababisha kuhalibu mzao hayo nakuwa fanya wafanyabiashara wa nyanya kuuza kwa bei ya juu na nyanya moja inauzwa shilingi miatano na sado moja ya nyanya huuzawa shilingi elfu kumi na tatu tofauti na hapo awali fungu moja lenye nyanya zaidi ya sita lilikuwa linauzwa shilingi miatano.

Comments

comments

Clement Silla

Read Previous

Wafugaji Itilima wafikisha kilio kwa Waziri Mpina.

Read Next

Papa Francis akataa pendekezo la Jimbo la Amazon – Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!