Mtanzania afanikiwa kuunda mabasi mawili ya kisasa.

Azma ya serikali ya kufikia uchumi wa kati kupitia maendeleo ya viwanda imeendelea kutekelezwa kwa vitendo kufuatia kazi kubwa inayofanywa na Mtanzania Jonas Nyagawa kupitia kampuni yake ya BM Motors ya Mlandizi Kibaha Mkoani Pwani kuunda mabasi mawili ya kisasa yenye thamani ya zaidi ya shilingi milion mia nne mpaka kukamilika kwake

Baada ya kutembelea na kujionea mabasi hayo mkuu wa chuo cha usafirishaji NIT Prof. Zacharia Mganilwa akampongeza mkurugenzi wa BM Motors kwa hatua hiyo ambayo inakwenda kuwa chachu ya kuongeza fursa za ajira lakin pia kuinua uchumi nchi.

Comments

comments

Anthony Shija

Read Previous

Mazingira mazuri ya wananchi kupata haki zao.

Read Next

Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!