Shilingi 100 yatosha kukupa Mamilioni na Parimatch Casino.

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya maboresho yake katika tovuti yao ya kubashiri, imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya michezo 100 mikali ndani yake ikiwemo JetX ambao umeshika kasi kwa kupendwa na watu wengi.

Hayo yamebainishwa na Meneja Mkuu wa Parimatch Tanzania, Bwana Tumaini Maligana wakati alipokuwa akizungumza kwenye mkutano mfupi na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kusema kwamba kupitia tovuti yao ya Parimatch https://pma.bet/3f3jq24 wataweza kufurahia kucheza na kushinda michezo mingi ya Casino kwa dau dogo la kuanzia shilingi 100.

“Hakuna haja tena ya kuendelea kusubiria hadi wikiendi ndio utengeneze pesa kwa kubeti kwenye soka, sisi kama Parimatch tumeamua kuwaletea Casino yenye michezo zaidi ya 100 tofauti tofauti yenye kukupa msisimko ambao hujawahi kuupata huko nyuma. Kwa mfano unaweza kucheza mchezo wa Jet X ambao unaanzia dau la Shilingi 100 na kila sekunde watu wanavuna mkwanja wa maana yaani huu sio utani watu wanapiga kiukweli”, alisema Maligana.

Aidha, Maligana aliendelea kwa kusema kwamba “utofauti wa Casino ya Parimatch unaanzia kwenye ubora wa mfumo wetu ambao unaendeshwa kisasa zaidi na kuwezesha kupata malipo kwa haraka zaidi sekunde chache tu mara tu unaposhinda na hakuna masuala ya kusubiria hadi kukuche asubuhi”.

Kwa upande mwingine, Maligana pia aliwasisitizia wadau wa Parimatch kuendelea kufurahia kucheza Virtual game na michezo mingine mbalimbali kupitia tovuti yao ambayo itaweza kuwaburudisha na kusisimua katika kipindi hiki cha Corona na kuelekea kumalizika kwa ligi mbalimbali kubwa duniani.

Twitter- @Parimatchtz
Facebook – @Parimatch.tz

Comments

comments

Clement Silla

Read Previous

Bishara 180 zimefungwa Wialyani Kisarawe.

Read Next

Wenye viwanda vya Mkonge wataka Ulinzi wa Soko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!