Mashindano ya magari kufanyika Arusha mwezi ujao.

Chama cha mchezo wa mbio za Magari nchini (AAT) kinaratajia kufanya mashindano Jijini Arusha kati ya Novemba 7 hadi 8 ikiwa ni shindano la mwisho katika kalenda ya chama hicho.

Akizungumza Jijini Dar es Makamu wa Rais wa chama hicho Satinder Birdi amesema wanategemea washiriki 15 hadi 20 ambapo kutokana na changamoto ya Covid 19 hakutakuwa na washiriki kutoka nje ya nchi.

Katika hatua nyingine Makamu huyo Rais wa AAT ameyaomba makampuni kujitokeza kudhamini mbio hizo ikiwa ni pamoja na kusaidia vifaa kwa ajili ya washiriki kutokana na gharama kubwa.

Comments

comments

Anthony Shija

Read Previous

Mauzo na manunuzi ya hisa DSE yapanda.

Read Next

Shirika la Madini la Twiga laonyesha uwezo mkubwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!