Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza watanzania kupiga kura katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Chamwino Ikulu Chamwino Jijin Dodoma leo Jumatano Oktoba 28,2020 katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika kote nchini.

Comments

comments

Clement Silla

Read Previous

Shirika la Madini la Twiga laonyesha uwezo mkubwa.

Read Next

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!