Rais Magufuli ahimiza uwajibikaji wa Viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli amewataka viongozi wanaoteuliwa kushika nyadhifa serikalini kujenga Utamaduni wa kuwatumikia wananchi kwa bidiii.

Mhe. Rais ametoa kauli hiyo mapema leo baada ya kuwaapisha Waziri Mkuu Mhe. KASSIM MAJALIWA pamoja na mawaziri wawili Dkt. PHILIP MPANGO na Profesa PALAMAGAMBA KABUDI, Ikulu jijini Dodoma.

Comments

comments

Clement Silla

Read Previous

Rais Magufuli azindua Bunge la 12 na Kuhutubia Taifa.

Read Next

Mazungumzo ya Makubaliano ya Kuunda Serikali ya Mpito Nchini Libya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!