NECTA yatangaza matokeo Kidato cha Nne 2020.

Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020 yakionyesha kuwa asilimia 85 ya wanafunzi waliofanya mtihani huo wamefaulu.

Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Charles Msonde amefahamisha hayo wakati akitangaza matokeo ya mtihani huo uliofanyika Novemba mwaka jana.

Bofya link hii kutazama >> https://matokeo.necta.go.tz/csee2020/csee.htm

Tazama Video hapa chini;

Comments

comments

Clement Silla

Read Previous

Makamu wa Rais aongoza Kikao cha mawaziri Ikulu, Dodoma.

Read Next

online sports betting in scandinavia373

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!