Pande hasimu nchini Libya zimekamilisha mazunguzmo ya wiki moja yaliyofadhiliwa na Umoja wa Mataifa bila ya kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya mpito ambayo ingeongoza nchi hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka unaokuja. Kaimu…
Serikali ya Ethiopia imesema leo kuwa imeukamata mji mwingine wa jimbo la kaskazini la Tigray baada ya karibu wiki mbili za mapigano katika mzozo unaotishia kuteteresha hali ya usalama kwenye eneo la pembe ya Afrika.…
Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020 yakionyesha kuwa asilimia 85 ya wanafunzi waliofanya mtihani huo wamefaulu. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Charles Msonde amefahamisha hayo…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoketi leo Januari 15, 2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limezindua safari yake ya kwanza kwenda Mkoani Geita, huku wananchi wakihamasishwa kutumia fursa hiyo kujiletea maendeleo ya kiuchumi. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dkt. Leonard Chamuriho akizindua safari hiyo amesema…
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Brigedia Jenerali John Mbungo ametoa kipindi cha siku 14 kwa wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kurejesha vifaa ghafi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Ikulu Mkoani Dodoma na kuonesha kuridhishwa na kiwango na kasi ya ujenzi wa majengo ya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mv. Kilindoni Hapa Kazi Tu kitakachokuwa kinafanya safari kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati, umefikia…
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini dsm imeanza kuziboresha barabara zilizoharibika vibaya kutokana na mvua na kusababisha kupitika kwa shida katika mitaa mbali mbali ya Jimbo la ukonga. Akizungumza na Waandishi wa habari Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala Omar Kumbilamoto amesema Ukarabati huo ambao ulisimama kwa zaidi ya wiki mbili kutokana na kuharibika kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Kahimba umeanza tarehe 31 Agosti, 2019. Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kahimba...