Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Brigedia Jenerali John Mbungo ametoa kipindi cha siku 14 kwa wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kurejesha vifaa ghafi…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 8, 2020 amemteua Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Read MoreWakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameendelea na Shughuli zao za kujitafutia kipato kama Kawaida wakipuuza wito wa baadhi ya viongozi wa Vyama vya Upinzani wa kuhamasisha Maandamano wakilalamikia walichodai mchakato wa uchaguzi mkuu…
Read MoreTakwimu za kibiashara zimeonyesha kuwa shughuli za uchumi na uwekezaji hapa nchini zimeendelea kuimarika licha ya uwepo wa mchakato wa uchaguzi mkuu ambao unafikia kilele chake wiki hii. Miongoni mwa viashiria vya uchumi kuwa imara…
Read MoreJeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeonya kuwa halitoruhusu shughuli za wananchi kusimamishwa na baadhi ya watu wanaotaka kufanya maandamano ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 kwani maandamano hayo hayakubaliki kisheria. Mapema…
Read MoreTaasisi iliyopata kibali cha kuangalia mwenendo wa uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 nchini ‘The Right Way’ imeeleza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulikuwa Uhuru na haki. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya ‘The Right Way’…
Read MoreKamati ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania kwa kushirikiana na wadau wengine ikiwemo Bendi ya Malaika, wamezindua tamasha la kutangaza utalii wa fukwe zilizopo katika jijiji la Dar es Salaam ikiwa ni mkakati wa kuzifanya…
Read MoreJeshi la Polisi mkoa wa Katavi linamshikilia mtuhumiwa mmoja anaejulikana kwa jina la Sistor katabi akiwa na vipande viwili vya meno ya tembo eneo la Ilalangulu kata ya Kibaoni tarafa ya Mpimbwe wilaya ya Mlele…
Read MoreKampuni ya Madini ya Barrick imesema Shirika la Madini la Twiga limeonyesha uwezo mkubwa wa kutengeneza thamani ya ushirika ikiwa ni mwaka mmoja pekee tangu kuanzishwa kwake. Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick Bwana…
Read MoreChama cha mchezo wa mbio za Magari nchini (AAT) kinaratajia kufanya mashindano Jijini Arusha kati ya Novemba 7 hadi 8 ikiwa ni shindano la mwisho katika kalenda ya chama hicho. Akizungumza Jijini Dar es Makamu…
Read More