1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Mauzo na manunuzi ya hisa DSE yapanda.

Mauzo na manunuzi ya hisa DSE yapanda.

Licha ya Tanzania kuwa kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu, Thamani ya jumla ya miamala ya uwekezaji kwa hisa na hatifungani katika soko la hisa la Dar es Salaam imeongezeka zaidi na kufikia Shilingi Bilioni 33.73…

Read More
Dkt. Magufuli aendelea kuinadi ilani akirejea Dodoma.

Dkt. Magufuli aendelea kuinadi ilani akirejea Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli amerejea mjini Dodoma baada ya ziara ya kuinadi ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa mamilioni ya wapiga kura…

Read More
Mkataba wa kupiga marufuku silaha za nyuklia.

Mkataba wa kupiga marufuku silaha za nyuklia.

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia na kuchochea kutekelezwa kwake katika muda wa siku 90. Hatua hiyo imesifiwa na wanaharakati wa kupambana…

Read More
Watoto watoa Ujumbe wa amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Watoto watoa Ujumbe wa amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Watoto wamewaasa wazazi na walezi kote nchini kuendelea kudumisha amani katika kipindi chote cha uchaguzi mkuu kwa kutokubali kushangilia matokeo yoyote yatakayotangazawa na mamlaka tofauti na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC sambamba na kutoshiriki…

Read More
Serikali ya CCM yapanga kununua meli tano kubwa za uvuvi.

Serikali ya CCM yapanga kununua meli tano kubwa za uvuvi.

Mgombea Mwenza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepanga kununua meli tano kubwa za uvuvi zitakazotumika kuvua samaki katika ukanda wa Pwani. Mama Samia ambaye pia ni Makamu wa Rais,…

Read More
TAKUKURU yatakiwa kuwadhibiti wanaorubuni wapiga kura.

TAKUKURU yatakiwa kuwadhibiti wanaorubuni wapiga kura.

Serikali imeiagiza Taasisi ya Kudhibiti na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhakikisha ina wazuia wananchi kutorubuniwa na wagombea wanaoutumia rushwa kununua uongozi. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, wakati alipokuwa akifungua…

Read More
Kocha asema timu ya Atalanta itapigana kulinda heshima UEFA.

Kocha asema timu ya Atalanta itapigana kulinda heshima UEFA.

Naye Kocha mkuu wa timu ya Atalanta, Gian Piero Gasperini amesema klabu yake imeonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, na kwamba kombe la klabu bingwa ni mali ya kila klabu ya Ulaya,…

Read More
Mpango wa PSG kuelekea ya robo fainali UEFA leo.

Mpango wa PSG kuelekea ya robo fainali UEFA leo.

Wakati mechi za robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya zikianza leo, Kocha Mkuu wa Klabu ya PSG ya Ufaransa Thomas Tuchel amekiri kuwa timu yake itakabiliwa na mchezo mgumu itakaposhuka dimbani kucheza dhidi…

Read More
Serikali (M) Pwani yatenga hekari 40,000 kwa ajili ya wafugaji.

Serikali (M) Pwani yatenga hekari 40,000 kwa ajili ya wafugaji.

Serikali mkoa wa Pwani imetenga eneo lenye ukubwa wa hekari elfu 40 kwa ajili ya kulisha mifugo hususan kwa baadhi ya wafugaji ambao wapo katika Bonde la Mto Ruvu katika kukabiliana na migogoro baina ya…

Read More
Mgombea Urais nchini Belarus apata hifadhi Lithuania.

Mgombea Urais nchini Belarus apata hifadhi Lithuania.

Mgombea Urais nchini Belarus katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni, Svetlana Tsikhanouskaya amesema amelazimika kuondoka nchini humo baada ya makabiliano kuibuka kati ya polisi na waandamanaji yaliyosababisha kifo cha muandamanaji mmoja. Katika ujumbe mfupi aliotuma kwa…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!