1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Wafanyabiashara soko la Job Ndugai na Serikali ya mkoa.

Wafanyabiashara soko la Job Ndugai na Serikali ya mkoa.

Wafanyabiashara waliokosa nafasi katika soko kuu la Job Ndugai jijini Dodoma wameuomba uongozi wa serikali ya mkoa kuwabaini waliopangisha maeneo ya biashara zaidi ya moja huku wengine wakitumia majina tofauti kwa lengo la kuyapangisha maeneo…

Read More
WHO na kinga ya covid-19 ya Urusi.

WHO na kinga ya covid-19 ya Urusi.

Shirika la Afya Duniani WHO limesema dawa ya kinga ambayo serikali ya urusi inadai kuigundua, haitaruhusiwa kutumika hadi pale itakapofanyiwa vipimo vya kuthibitisha ubora wake katika maabara za shirika hilo huku urusi ikisema kuwa imeipasisha…

Read More
Wagombea waliochukua fomu za kuwania Urais wafikia 16.

Wagombea waliochukua fomu za kuwania Urais wafikia 16.

Idadi ya wagombea waliojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC ili kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi kufikia jana ilikuwa 16 baada ya vyama vinne ambavyo…

Read More
Uhusiano wa kidiplomasia wa Tanzania wazidi kuimarika.

Uhusiano wa kidiplomasia wa Tanzania wazidi kuimarika.

Serikali imesema si kweli kuwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tanzania na nchi nyingine umepungua kutokana na namna Tanzania ilivyopambana na ugonjwa wa Covid-19, bali uhusiano huo umeendelea kuimarika zaidi, ikiwemo kupokea pongezi kutoka mataifa na…

Read More
Dkt. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Vijana na Michezo.

Dkt. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Vijana na Michezo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ameutaka Uongozi na watendaji wa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuongeza kasi katika kipindi hiki kifupi kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu…

Read More
Usafirishaji wa binadamu ni dhambi.

Usafirishaji wa binadamu ni dhambi.

Serikali imetoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kuhakikisha kinafanya ukaguzi wa mara kwa mara katika vyombo vya usafiri, ili kudhibiti usafirishaji haramu wa binadamu, unaofanywa nchini na nje ya nchi. Akifungua maadhimisho…

Read More
Jackpot Mpya na Kabambe kutoka Parimatch.

Jackpot Mpya na Kabambe kutoka Parimatch.

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Parimatch Tanzania imezindua mchezo mpya wa Jackpot ambao utawapa fursa wateja wa kampuni hiyo, kujinyakulia kitita kikubwa cha fedha cha Shillingi Milioni 10 za Kitanzania zitakazokuwa zinatolewa kila wiki.…

Read More
Juhudi za kuwapatia wananchi vyeti vya kuzaliwa mkoani Tanga.

Juhudi za kuwapatia wananchi vyeti vya kuzaliwa mkoani Tanga.

Zaidi ya asilimia 90 ya wananchi mkoani Tanga hawana kabisa vyeti vya kuzaliwa kati yao wakiwemo watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano hali iliyoifanya Serikali kupitia Wakala wa Usajili na ufilisi RITA kuandaa…

Read More
Kilele cha siku ya kitaifa ya lishe.

Kilele cha siku ya kitaifa ya lishe.

Watanzania wameungana katika kilele cha Siku Ya Lishe Kitaifa ambapo Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia Wazee Na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza kuanzia Septemba Mosi mwaka huu kila shule ya Msingi na Sekondari itoe…

Read More
Pato la Taifa kwa mwaka laongezeka.

Pato la Taifa kwa mwaka laongezeka.

Serikali imeeleza kuwa pato la Taifa kwa mwaka limeongezeka na kufikia trilioni 124 ikilinganishwa na trilion 52.9 kwa miaka 10 iliyopita kiwango ambacho hakikuwahi kufikiwa tangu nchi ipate uhuru. Msemaji mkuu wa serikali Dkt. Hassan…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!