1. Home
  2. Author Blogs

Author: Anthony Shija

Anthony Shija

Mafanikio miaka minne ya Rais Magufuli.

Mafanikio miaka minne ya Rais Magufuli.

Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli imeweza kutekeleza miradi mbalimbali yenye manufaa kwa wananchi katika kipindi kifupi cha miaka minne kutokana na kuweka usimamizi mzuri wa mapato ya serikali na kuelekeza…

Read More
Iran kupunguza ahadi zake za mkataba wa Nyuklia.

Iran kupunguza ahadi zake za mkataba wa Nyuklia.

Iran imesema itachukua hatua mpya katika kupunguza ahadi ilizotoa katika mkataba wa kihistoria wa nyuklia wa 2015 kuanzia kesho Jumatano kwa kuongeza gesi kwenye mitambo yake 1,044 ya urutubishaji Uranium katika kiwanda chake cha Fordow.…

Read More
Miaka minne ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Miaka minne ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Jitihada na utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake zimewasukuma wakulima na wafugaji kuweka bayana furaha yao wakieleza kuwa…

Read More
Mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa 2020/21.

Mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa 2020/21.

Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa utakaotekelezwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021 huku maeneo ya kipaumbele yakiwa ni uimarishaji wa sekta ya kilimo, kufungamanisha ukuaji wa uchumi na maendeleo…

Read More
Prof. Mussa Assad akabidhi ofisi kwa CAG Mpya.

Prof. Mussa Assad akabidhi ofisi kwa CAG Mpya.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali – CAG aliyemaliza muda wake Prof. Mussa Assad amekabidhi ofisi kwa CAG mteule Charles Kichere aliyeapishwa jana Ikulu jijini Dar es salaam ambapo amemtaka aendeleze ushirikiano baina…

Read More
Barabara ya Handeni – Korogwe yafunguliwa.

Barabara ya Handeni – Korogwe yafunguliwa.

Hatimaye barabara ya kutoka wilaya ya Handeni kwenda wilaya ya Korogwe mkoani Tanga imefunguliwa baada ya kufanyika kwa matengenezo ambapo kwa sasa magari yameruhusiwa kuendelea kuitumia. Barabara hiyo ilifungwa kutokana na kukatika kulikosababishwa na mvua…

Read More
Tanzania, DRC na Burundi zaungana kuokoa ziwa Tanganyika.

Tanzania, DRC na Burundi zaungana kuokoa ziwa Tanganyika.

Katika kupambana na uharibifu wa mazingira katika ziwa Tanganyika, serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Burundi zinafanya tafiti katika bonde la Mto Congo ili kubaini athari…

Read More
Mradi wa ujenzi wa Meli mpya na Chelezo – Mwanza

Mradi wa ujenzi wa Meli mpya na Chelezo – Mwanza

Ujenzi unaoendelea jijini Mwanza wa Meli mpya ya Kisasa inayotarajiwa kuchukua abiria 1,200 na kuwa meli kubwa kuliko zote katika nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki, unatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2021. Ujenzi huo unaokwenda sambamba…

Read More
Asasi za Kiraia ziibue miradi shirikishi ya Maendeleo

Asasi za Kiraia ziibue miradi shirikishi ya Maendeleo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. KASSIM MAJALIWA ameziagiza asasi za kiraia zinazofanya kazi nchini kuhakikisha fedha zinazotolewa na wafadhili zinatumika kuibua miradi shirikishi ya maendeleo kwenye jamii badala ya kufanya semina…

Read More
Tusimamie Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ukuaji wa Uchumi.

Tusimamie Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ukuaji wa Uchumi.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya Kilimo,Mifugo ,na Maji Mahmoud Mgimwa amesema asilimia 85 ya malighafi zinazozalishwa kupitia sekta ya kilimo mifugo na uvuvi ndizo zinazotumika katika uzalishaji viwandani na kuchochea ukuaji wa…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!