1. Home
  2. Author Blogs

Author: Clement Silla

Clement Silla

Wanaotuhumiwa kuwapa Mimba Wanafunzi Mwanza.

Wanaotuhumiwa kuwapa Mimba Wanafunzi Mwanza.

Serikali mkoani Mwanza imeliagiza jeshi la Polisi mkoani humo, kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya sheria, watu wanaotuhumiwa kuwapa ujauzito zaidi ya wanafunzi 451, katika kipindi cha mwaka 2020. Mkuu wa mkoa wa Mwanza John…

Read More
Waziri Mkuu atoa siku 15 Hospitali ya Uhuru ikamilike.

Waziri Mkuu atoa siku 15 Hospitali ya Uhuru ikamilike.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT wahakikishe ujenzi wa hospitali ya Uhuru katika…

Read More
Rais Mwinyi afanya ziara yakushtukiza hospitali ya Rufaa ya Mnazi moja Zanzibar.

Rais Mwinyi afanya ziara yakushtukiza hospitali ya Rufaa ya Mnazi moja Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema haridhishwi na mazingira ya utendaji kazi wa Hopitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na kutoa muda wa miezi mitatu kwa…

Read More
Waziri Mkuu Tanzania azindua uchepushaji  wa maji ya Mto Rufiji.

Waziri Mkuu Tanzania azindua uchepushaji wa maji ya Mto Rufiji.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua uchepushaji wa maji ya Mto Rufiji kwenda kwenye handaki ili kuruhusu ujenzi wa tuta kuu kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa kimkakati…

Read More
Serikali ya Ethiopia yadai kuukamata Mji wa Alamata.

Serikali ya Ethiopia yadai kuukamata Mji wa Alamata.

Serikali ya Ethiopia imesema leo kuwa imeukamata mji mwingine wa jimbo la kaskazini la Tigray baada ya karibu wiki mbili za mapigano katika mzozo unaotishia kuteteresha hali ya usalama kwenye eneo la pembe ya Afrika.…

Read More
Mazungumzo ya Makubaliano ya Kuunda Serikali ya Mpito Nchini Libya.

Mazungumzo ya Makubaliano ya Kuunda Serikali ya Mpito Nchini Libya.

Pande hasimu nchini Libya zimekamilisha mazunguzmo ya wiki moja yaliyofadhiliwa na Umoja wa Mataifa bila ya kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya mpito ambayo ingeongoza nchi hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka unaokuja. Kaimu…

Read More
Rais Magufuli ahimiza uwajibikaji wa Viongozi.

Rais Magufuli ahimiza uwajibikaji wa Viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli amewataka viongozi wanaoteuliwa kushika nyadhifa serikalini kujenga Utamaduni wa kuwatumikia wananchi kwa bidiii. Mhe. Rais ametoa kauli hiyo mapema leo baada ya kuwaapisha Waziri…

Read More
Rais Magufuli azindua Bunge la 12 na Kuhutubia Taifa.

Rais Magufuli azindua Bunge la 12 na Kuhutubia Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli, amewaagiza viongozi wa serikali kuanzia ngazi za chini, kutenga siku ya kusikiliza kero za wananchi, badala ya kungoja ziara za viongozi wa kitaifa, ndio…

Read More
Walibya wakubaliana kufanya Uchaguzi.

Walibya wakubaliana kufanya Uchaguzi.

Umoja wa Mataifa unasema Walibya wamekubaliana kufanya uchaguzi katika kipindi cha miezi kumi na nane ijayo wakati ambapo juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili kusitisha mapigano yaliyoizonga nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika kwa kipindi cha…

Read More
Uwezekano wa kutokea Janga la Wakimbizi TIGRAY.

Uwezekano wa kutokea Janga la Wakimbizi TIGRAY.

Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi UNHCR limesema lina wasiwasi kwamba kutatokea janga la wakimbizi iwapo raia wataendelea kukimbia mapigano katika mkoa wa Tigray kaskazini mwa Ethiopia. Wanajeshi wa serikali wamekuwa wakipambana na wapiganaji…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!