Pande hasimu nchini Libya zimekamilisha mazunguzmo ya wiki moja yaliyofadhiliwa na Umoja wa Mataifa bila ya kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya mpito ambayo ingeongoza nchi hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka unaokuja. Kaimu…
Read MoreRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli amewataka viongozi wanaoteuliwa kushika nyadhifa serikalini kujenga Utamaduni wa kuwatumikia wananchi kwa bidiii. Mhe. Rais ametoa kauli hiyo mapema leo baada ya kuwaapisha Waziri…
Read MoreRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli, amewaagiza viongozi wa serikali kuanzia ngazi za chini, kutenga siku ya kusikiliza kero za wananchi, badala ya kungoja ziara za viongozi wa kitaifa, ndio…
Read MoreUmoja wa Mataifa unasema Walibya wamekubaliana kufanya uchaguzi katika kipindi cha miezi kumi na nane ijayo wakati ambapo juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili kusitisha mapigano yaliyoizonga nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika kwa kipindi cha…
Read MoreShirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi UNHCR limesema lina wasiwasi kwamba kutatokea janga la wakimbizi iwapo raia wataendelea kukimbia mapigano katika mkoa wa Tigray kaskazini mwa Ethiopia. Wanajeshi wa serikali wamekuwa wakipambana na wapiganaji…
Read MoreBunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, limemuidhinisha mbunge wa Ruangwa Mhe. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kumpa asilimia 100 ya kura zote za ndiyo. Mara baada…
Read MoreUjenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mabasi Mbezi Luisi kilichopo Mbezi Jijini DSM kinatarajia kuanza Majaribio ya kutumika kwa Mabasi ya Mikoani tarehe 25 mwezi huu, baada ya Ujenzi wake kukamilika kwa asilimia 90. Mkurugenzi…
Read MoreViongozi mbalimbali wa kidini nchini wameshiriki kongamano la Shukrani la kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 mwaka huu kwa salama na amani. Akizungumza katika kongamano hilo Askofu Mkuu wa Mtandao wa kimataifa wa Makanisa…
Read MoreMkutano wa kwanza wa Bunge la Kumi na Mbili umepangwa kufanyika Jumanne ya wiki ijayo jijini Dodoma, na hivyo wabunge wote wateule wakitakiwa kuripoti katika ofisi za bunge Dodoma, kuanzia leo hadi Jumatatu. Akitoa taarifa…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu, Zanzibar. Rais Dkt. Mwinyi amemuapisha Katibu…
Read More