1. Home
  2. Author Blogs

Author: Clement Silla

Clement Silla

Dkt. Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dkt. Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili cha…

Read More
Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi afanya Uteuzi.

Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi afanya Uteuzi.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mwinyi Talib Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika…

Read More
Waliokuwa Spika na Naibu Spika wawania Uteuzi wa CCM.

Waliokuwa Spika na Naibu Spika wawania Uteuzi wa CCM.

Waliokuwa viongozi wa Bunge la 11 tangu mwaka 2015 hadi Julai 2020, Spika wa Bunge Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wamejitokeza tena kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM…

Read More
Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza rasmi Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi wa CCM Kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata Kura  380,402 sawa na Asilimia 76.27.

Read More
Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza watanzania kupiga kura katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Chamwino Ikulu Chamwino Jijin Dodoma…

Read More
Tanzania yafanikiwa kutekeleza malengo ya SADC.

Tanzania yafanikiwa kutekeleza malengo ya SADC.

Tanzania imesema licha ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa corona na majanga ya mafuriko imefanikiwa kutimiza malengo waliyokubaliana na nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa afrika SADC huku ikiisihi Msumbiji kuendeleza mafanikio…

Read More
Maelekezo ya Waziri Jafo hayajafanyiwa kazi.

Maelekezo ya Waziri Jafo hayajafanyiwa kazi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Seleman Jafo amesikitishwa na kitendo cha uongozi wa serikali ya Mkoa wa Dodoma kutotekeleza agizo alilolitoa mwezi Februari mwaka huu la…

Read More
Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu kanuni Mpya ya Utangazaji.

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu kanuni Mpya ya Utangazaji.

Serikali imesema katu haijazuia vyombo vya habari nchini kupokea matangazo kutoka vyombo vya habari vya nje kama inavyopotoshwa na baadhi ya watu, kufuatia ya Mabadiliko madogo ya kanuni mpya za Utangazaji na maudhui mtandaoni zilizotolewa…

Read More
Mhadhiri UDOM na Rushwa ya Ngono.

Mhadhiri UDOM na Rushwa ya Ngono.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inakusudia kumfikisha mahakamani Dodoma, Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Bw. JACOB PAUL NYANGUSI, kwa tuhuma za kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake. Akitoa…

Read More
Tetemeko la Ardhi Mwambao.

Tetemeko la Ardhi Mwambao.

Wakala wa Jiolojia Nchini (GST) imeweka wazi kuwa tetemeko lililotokea jana majira ya saa mbili na robo usiku,katika mwambao wa bahari ya Hindi, lilikuwa na ukubwa wa richa 5.9, na matetemeko kama hayo ni lazima…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!